top of page

Ahadi za Mungu

Ahadi zako Mungu twajua ni zile zile na neno lako wewe haliwezi badilika

Tunafahamu wewe unatimiza yote haubagui wewe unatimiza kwa wote

Bwana zishushe ahadi zako kwetu Bwana zimimine neema zako kwetu nasi tutazipokea x2

  1. Ulimuahidia Babu yetu Ibrahimu yeye na uzao wake baraka

  2. Umetuahidia kutujalia memayo fedha na dhahabu vyote ni vyako

  3. Furaha na amani hivyo vyote mali yako Bwana tukirimie twakusihi

Mwisho wa yote haya utujalie uzima, uzima uzima wa milele uzima uzima wa milele x4

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page