top of page

Share Lyrics and Download Hymns
Get access to all the Hymn categories available at the Hymn & Score Library in this category.
Tupeleke Zawadi
Tupeleleke zawadi zetu eeh tupeleke zawadi kwa Bwana twende tupeleke zote Bwana upokee na kuzibariki x2 i) Mkate divai na twazileta...
Mali ya Mungu
Kila kilicho juu ya nchi, ni mali yake Bwana, mwumba mbingu, kila kilicho juu ya nchi, ni mali yake Bwana, mwumba mbingu Mashamba ya...
Matega Maitu
Matega maitu Ngai twagutegera - Twakuria umamukire na umarathime Mugate witu Ngai twagutegera- Twakuria umamukire na umarathime Divai itu...
Tupeleke Zawadi
Waumini simameni wote tupeleke zawadi zetu kwake zake Mungu Baba yetu, Kwa furaha tukabebe vyote tul'o navyo tumejaliwa naye Mungu muumba...
Pokea Sadaka Zetu
Bwana Mungu pokea sadaka zetu Ee Baba Bwana Mungu pokea sadaka zetu Ee Baba x2 Pokea sadaka zetu ee Baba muumba vyote Ee Mungu mwenyezi...
Ni Mazao
Ni mazao ya mashamba nazo fedha za mifuko ni mkate na divai tunaleta kwako Baba x2 Leo tuko hima na tumejawa furaha (sisi) tunaimbaimba...
Twende Wote Aste Aste
Twende wote aste aste na sadaka mikononi vipaji mbalimbali twende wote kwa furaha, Mungu wetu tubariki Mungu wetu atuongoze na tuseme...
Matoleo Yetu
(Tunaleta matoleo yetu uyapokee Ingawaje tumeyapata kwako uyapokee Kwa huruma yako, Bwana uyapokee Japo ni dhaifu, Bwana uyapokee,...
What Return to Yahweh
What return to Yahweh can I make x2 For blessings of every kind from Him that I have received x2 What return to Yahweh - what returns can...
Wi Mukumie Wee Mwathani
Wi mukumie wee Mwathani, Ngai wa thi na wa iguru, niundu wotana waku niwamukirite matega maya twarehe x2 Mugate o hamwe na njohi...
We Bring the Sacrifice
We bring the sacrifice of praise Unto the house of the Lord We bring the sacrifice of praise Unto the house of the lord And we offer up...
Upokee Ewe Bwana
Upokee ewe Bwana Vipaji vyetu vitakase vibariki uvipokee Mkate wetu na divai Fedha hizi na mazao Hayo yote mali yako Nyoyo zetu zenye...
Ufalme wa Mungu
Ufalme wa Mungu umekuwa kama yule Aliyewaita watumwa wake Akampa moja talanta tano na mwingine talanta mbili na wa mwisho talanta Talanta...
Pokea Zawadi Zetu
Pokea zawadi zetu Baba x2 Mkate na divai pokea Baba Mazao ya mashamba upokee Na kiini cha ngano pokea Baba Na tunda la mzabibu upokee...
Owinjore Water Chiwo
Owinjore water chiwo - owinjore owinjore water chiwo Nyasae emo chiwo gigo Makata pesa golagola - Nyasae emo chiwo gigo Makata cham...
Nipokee Bwana Wangu
Nipokee, Bwana wangu, nipokee. Mbele zako nipo daima; ‘sinitupe mbali nawe miye mdhambi; Nipokee, Bwana wangu, nipokee. Nakupenda, Yesu...
Nakuja Mbele Zako Bwana
Nakuja mbele zako Bwana, ninakuja na zawadi yangu, ingawa ni kidogo (sana) Bwana uipokee x2 Nimekaa mimi nimejiuliza moyoni nitaenda je...
Banso ee- Mungu Muumba
Banso ee, Toyembe la Nzambee x2 Yende tata ee Nkumu monene x2 Totondo Nzambe-A Sali malamu, Totondoye na loyemboloye Tosa ngisa ee,...
Matega Maitu
Matega maitu Ngai twagutegera - Twakuria umamukire na umarathime Moe - Moee, moe ee, Twakuria umamukire na umarathime x2 Mugate witu Ngai...
Mpeni Kaisari yaliyo yake Mungu
Mpeni Kaisari yaliyo yake Kaisari Mpeni Mungu yaliyo yake Mungu Mpeni Mungu enyi viumbe vyake Na mpe Bwana Mungu haki yake Ulicho nacho...
Nthembo Tene Nisyaumawa
Nthembo tene ni syaumawa, Ni etikili ivinda ya tene, Syaumawa na kuvivywa, Nthembo kwa Ngai asa. Tumuthembe - Ngai tumuthembe x2 Na...
Bolingo ya Nzambe
Bolingo ya nzambe, bolekibo nene, Wanatinde libiso Yesu mobokisi x2 Bass: Salela kamokonzi okoyoka esengo x9 Sop: Salela kamokonzi...
Bino Bihanwa Biefwe
Bino bihanwa biefwe x 2.Ee papa yakanira papa x 2 1. Kuno mkate kwefwe papa – yakanira papa. Ino divai yefwe papa – yakanira papa. Buno...
Bino Bianwa Biefwe
Bino bianwa biefwe Bino bianwa biefwe aah ee biakanire Papa x2 Bino biana bwefwe papa, biakanire Papa Kano matunda kefwe Papa, biakanire...
Zawadi Zetu
Tunakuja mbele zako – na zawadi zetu (sote) tunaleta kwako Baba – kama shukurani X2 1. Na mazao ya mashamba tunaleta kwako (Baba) ...
We Asa Osa
We Asa osa nthembo yaitu We Asa osa noituathima 1. Ni mukate wumite nganuni ya nthi - We Asa osa noituathima Na ndivai yumite nzavivu ya...
Viuzeni Mlivyo Navyo
Viuzeni mlivyo navyo mkavitoe sadaka, kwa kuwa mnajiwekea hazina yenu mbinguni (ndugu) kwa kuwa mnajiwekea mbinguni. Rudisheni kwake...
Twende sote
Twende sote tupeleke zawadi zetu, ni vipaji ambavyo Bwana katujalia x2 Mkate na divai twaja navyo Bwana, ni kiini cha ngano na tunda...
Tupeleke Zawadi kwa Bwana
Tupeleke zawadi, Tupeleke kwa Bwana Tupeleke vipaji Tupeleke kwa Bwana Vyote ni mali yake, turudishie Baba kwa wema na upendo tupeleke...
Sadaka Yetu
Sadaka yetu uu, uu, oh, oh, oh,oh, twaleta Bwana, twakuomba upokee Bwana x2. 1. Mkate divai, twaleta Bwana pokea…. Nayo mavuno, …. Maisha...
Receive Oh! Lord
Pokea ee Baba zawadi zetu zote pokea ee Baba, ni kidogo Receive O Lord, this our offertory Receive O Lord, the little that we offer Bread...
Na Sadaka
Bariki vingozi, bariki kazi zetu, kwa pendo lako ewe Masiya, utubariki kwa kazi mpya x2 Nasadaka nasadaka itumike popote x2 Kwa mapadri...
Naja Kwako Nipokee
Naja kwako nipokee ingawa mimi ni mdhambi x2 Sadaka naleta japo mi sifai, Ewe Mungu Baba ipokee, Mkate divai zao la mashamba, Mbele yako...
Mungu Muumba Twakutolea
1. Mungu Muumba twakutolea sadaka safi Ee Baba pokea Sadaka ee Baba pokea x2 Tunakutolea sadaka safi sadaka ee Baba...
Mimi Ninakuja
Mimi ninakuja, Mimi ninakuja na zawadi ndogo Bwana pokea x2 Mkate na Divai - Bwana pokea Twakutolea leo- Bwana pokea Toa kama Abel...
Mabonza Mabonza
1. Sop/ Ee nkumu wa bileko oyamba, TUTT/ Eee mabonza mabonza Tata oyamba Ee. Sop/ Ee nkumu wanile kele chineke, TUTT/ Eee keleya keleya...
Kila Kilicho Juu
Kila kilicho juu ya nchi- ni mali yake Bwana huko mbinguni x2 1. Na zaka za -Mungu zote za Mungu Mazao ya - Mifugo wa ...
Ero Ero Wabiro
(Ero Ero wabiro watingo chiwo wakeloni jang’wono-romnwa gi hera x2 Pesa wa wakeloni jang’wono- Romnwa gihera Mwandu wa wakeloni...
Ee ndugu Peleka
Ee ndugu peleka talanta yako kwa Bwana, kwani Mungu alikupatatia cha kiasi chako Bass: Nawe mrudishie Bwana kama wale watumishi Wote:...
Ee Ndugu Nenda
Ee ndugu nenda x2- ukamtolee Mungu sadaka, Ee ndugu nenda x2 – uka mtolee Mungu sadaka. 1. Ni wiki ni nzima amekulinda vyema. Nenda ee……....
Ee Mfumue
Ee mfumue yamba makabu x2 Yamba makabu yakimanga na beto x2 Tala maboko ya mono ya tele kabu x2 Tala maboko kimeni nsukaniyanene x2...
Ee Bwana Naleta Nafsi Yangu
Ee Bwana naleta nafsi yangu mikononi mwako x2 Alto/Sops/Tenor: Unipokee Baba Bass: ( nakuomba) All: Unigeuze niwe mtu mwema, ninakuja...
Ee Baba Twaleta Zawadi
Ee Baba twaleta zawadi zetu, Ee Baba twaomba uzipokee x 2 Japo ni kidogo sana ewe Baba, twakusihi sana Baba uzipokee. Mkate na divai ewe...
Ee Baba Pokea
Ee Baba pokea zawadi tunaleta x 2 Upokee Baba hizo zawadi tunazileta kwako Muumba x 2 Pokea Ee Baba zawadi, ya mkate divai pokea,...
Ee Baba Pokea Sadaka Yetu
Ee Baba pokea sadaka yetu tunakutolea, hiyo ni kazi ya mikono yetu wanadamu x 2 Twakuomba Uipokee (pokea) Ee Bwana Uibariki (bariki)...
bottom of page


