top of page

Pokea Sadaka Zetu

Updated: Dec 21, 2023

Bwana Mungu pokea sadaka zetu Ee Baba Bwana Mungu pokea sadaka zetu Ee Baba x2

  1. Pokea sadaka zetu ee Baba muumba vyote Ee Mungu mwenyezi kwa upendo wako (Ee Baba)

  2. Pokea na fedha zetu ee mwenye kuumba vyote

  3. Pokea mioyo yetu ee Baba mtakatifu

  4. Pokea vipaji vyetu ee mwenye kuumba vyote

  5. Pokea mazao yetu ee Baba wa ulimwengu

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page