top of page
Share Lyrics and Download Hymns
Get access to all the Hymn categories available at the Hymn & Score Library in this category.
Mungu Wetu ni wa Amani
Mungu wetu ni wa Amani, Mungu wetu ni wa amani x3 Kanitoa chini kaniweka kati, Kanitoa chini kaniweka kati, Kanitoa kati kaniweka juu,...
Peace of God
Come to Jesus the prince of peace, peace of God forever be with you. Jesus savior redeemer, peace of God forever be with you. Peace of...
Peace is Flowing
Peace is flowing like a river, flowing out of you and me Flowing out into the desert, setting all the people free. Love is flowing like a...
Tunaomba Amani
Tunaomba amani x2 Kwa jina la Yesu tunaomba x2 Tunaomba amani. Oo amani oo amani Oo amani Bwana tupe amani x2 Upendo Umoja Furaha
Omorembe Omorembe
Omorembe e omorembe w. Omorembe ob ease more x2 buna tata ere antomete omorembe obe ase more obwanchani obwanchani obwanchani bobe ase...
Ni Wakati Wa Amani
Ni wakati wa amani Yesu atupenda amani yake -BwanaYesu atupenda Ye ye ye ye ye ye Yesu atupenda Wo wo wo wo wo - Yesu atupenda Ni wakati...
Niwara Nono
Niwara nono angweny wanalamo niwara nono taya, niwara nono jaler niwara nono taya. Ne okang’eyo ni kong’o en richo ne okang’eyo……..taya...
Amani ya Bwana Yesu
Amani ya Bwana Yesu, amani iwe nawe Amani ya Bwana Yesu, amani iwe nawe Ewe mwenzangu pokea (amani) Amani (ya Yesu) Upendo... Neema......
Bwana Unifanye Niwe Chombo
(Bwana) x2 unifanye niwe chombo kweli cha amani yako x2 Palipo na chuki nilete amani, Palipo ugomvi nilete msamaha wako Palipo na shida...
Tutakiane Amani
Bass: Tutakiane amani ya Bwana All: Tutakiane amani yake Bwana x2. Amani yake Bwana, (isambae), amani ismabae (duniani) isambae daima...
Nipe Amani
Sop: Nipe amani x3 Bwana, nipe amani, amani yako Bwana All: Nipe amani x3 Bwana, nipe amani, amani yako Bwana, ha ha ha Sop: Amani All:...
Nipatie hiyo Amani
Nipatie hiyo amani amani ya Bwana amani x2 Hiyo amani amani ya Bwana amani 1. Nipatie huwo upendo… 2. Nipatie hiyo faraja…..
Mungu nipatie Amani
1. Mungu nipatie amani, nipate kuishi na wewe Mungu nipatie maisha mema niwe na maisha kamili Amani nimeomba mimi, niishi kwake Bwana...
Kristu Anatupenda
Kristu anatupenda, Kristu anatuambia nasi tupendane x2 Ndiyo amri yake Yesu- Ndugu tupendane Kanisa latufundisha- Ndugu tupendane Mwana...
Ee Bwana Tunakuomba
Ee Bwana tunakuomba hiyo amani (leo) utujalie amani siku zote amani ya Bwana Yesu isambae pote amani ya Bwana Yesu iwe nasi sote. Ee...
Chombo Cha Amani
Bwana unifanye niwe chombo cha amani yako x2 1. Palipo na chuki nilete (amani x 2) yako Palipo ugomvi, nilete msamaha wako. 2. Palipo na...
Bwabokiree
Bwabokiree, Bwabokire obwanchani, bwabokire bwabokire obwanchani Boribwakare x2 obwanchani x2 Tema nainde x2 torore x2
Baraka Zimiminike
1. Baraka zimiminike Baraka zimiminike x2 Twawatakia amani (baraka zimiminike x2) zaeni matunda mema x2 2. Twawatakia upendo…. 3....
Amani yako Bwana Isambae
Amani yako, Bwana Isambae, Bwana mioyoni mwetu daima milele Faraja yako…. Neema yako… Huruma yako… Fadhili yako…
Amani
(Amani ya Bwana Yesu, Amani iwe nawe Amani ya Bwana Yesu, Amani iwe nawe) x2 Ewe mwenzangu pokeawote Amani Amani wote ya Yesu 1. Upendo...
Amani yake Bwana
Amani yake Bwana Yesu Kristu ninakupa amani yake Bwana Yesu Kristu pokea x2 ...
Amani ya Bwana
Na amani Ya Bwana isambae ( Bass) Amani isambae popote duniani ( Amani, ya Bwana isambae) (amani) isambae popote duniani x2 Faraja…...
Amani ya Bwana
Sop: Amani ya Bwana naomba All: Iwe pia nawe Sop: Amani yake Bwana Yesu kweli All: Iwe pia nawe Amani...
Amani
Sop: (Amani ya Bwana Yesu, Amani iwe nawe Wote: Amani ya Bwana Yesu, Amani iwe nawe) x 2 S/A: Ewe mwenzangu pokea wote: ...
Tukipenda Wenzetu
Tukipenda wenzetu kati yetu Mungu yuko.x2 1. Aliyetufanya tuwe ndugu, ndiye Yesu ndugu yetu, chuki yote na hasira, kati yetu...
Nijaposema Kwa Lugha
Upendo huvumilia, upendo hauoni mabaya;Upendo hauna wivu, upendo hauchoki x 2 Nijaposema kwa lugha, kushinda malaika (jamani) kama mimi...
Amani- Isikuti
Amani ya Bwana Yesu, amani iliyo kuu tuisambaze kwa watu idumu milele yote x2 Upendo Furaha Umoja
bottom of page

