Tutakiane Amani
- Anonymous
- Oct 30, 2023
- 1 min read
Bass: Tutakiane amani ya Bwana
All: Tutakiane amani yake Bwana x2.
Amani yake Bwana, (isambae), amani ismabae (duniani) isambae daima milele
2. Tutakiane upendo wa Bwana…..
3. Tutakiane furaha ya Bwana….

Comments