top of page

Share Lyrics and Download Hymns
Get access to all the Hymn categories available at the Hymn & Score Library in this category.
Mataifa Yote- Zaburi ya Siku ya Epifania
Mataifa yote ya ulimwengu watakusujudia Ee Bwana Ee Mungu, umpe mfalme hukumu yako, na mwana wa mfalme haki yako;/ ahukumu taifa lako kwa...
Â
Â
Â
Taabu ya Mikono Yako
Taabu ya mikono yako hakika (utaila) taabu ya mikono yako hakika utaila x2. Heri kila mtu amchaye Bwana (Mungu) aendaye katika njia yake...
Â
Â
Â
Sikiliza ni Mpendwa Wangu
Sikiliza ni mpendwa wangu, ni mpendwa wangu tazama anakuja. x2 Akirukaruka milimani, akichacharika vilimani, mpendwa wangu ni kama paa,...
Â
Â
Â
Nyumbani mwa Bwana
Nalifurahi nalifurahi waliponiambia waliponiambia na twende nyumbani mwa Bwana x2 Na twende nyumbani na twende mwa Bwana x2 waliponiambia...
Â
Â
Â
Kando ya Mito
Kando ya mito ya Babeli ndiko tulikoketi, tukalia tulipo ikumbuka sayuni x2 (katika miti iliyo katikati yake tulivitundika vinubi vyetu...
Â
Â
Â
Nitamhimidi Bwana
Nitamhimidi Bwana, kila wakati sifa zake zi kinywani mwangu x2 (Katika Bwana) nafsi yangu, itajisifu kwa unyenyekevu wasikie wafurahi;...
Â
Â
Â
Bwana Wewe Ndiwe Mchungaji Wangu
Bwana wewe ndiwe mchungaji wangu sitapungukiwa kitu x2 Katika malisho ya majani mabichi hunilaza kando ya maji ya utulivu huniongoza...
Â
Â
Â
Bwana Ndiye Mchungaji Wangu
Sop: Bwana ndiye mchungaji wangu sitapungukiwa na kitu, sitapungukiwa All: sitapungukiwa, sitapungukiwa (na kitu) sitapungukiwa x2 Ten;...
Â
Â
Â
Bwana ni Nuru Yangu
Bwana ni nuru yangu na wokovu wangu nimuogope nani? Uzima wangu nimhofu nani x2 Watesi wangu na adui zangu, walijikwaa wakaanguka Jeshi...
Â
Â
Â
Bwana Alitutendea Mambo Makuu
Bwana alitutendea mambo, (mambo) mambo makuu x2. Ndipo kinywa chetu kilipojaa kicheko (kicheko) na ulimi wetu kelele za furaha, {Bwana...
Â
Â
Â
Makao Yetu
Wewe Bwana umekuwa (ae) makao yetu sisi kizazi baada ya kizazi x2. Kabla haijazaliwa milima (yote) wala haujaiumba dunia (dunia yote) na...
Â
Â
Â
Kando ya Mito
Kando ya mito ya Babeli ndipo tulipoketi, tukalia tulipoikumbuka-kumbuka sayuni. 1. Katika miti iliyo katikati yake, tulivifundika...
Â
Â
Â
Nitayainua Macho Yangu
Nitayainua macho yangu, nitazame milima, msaada wangu utatoka wapi, uu katika Bwana wangu x2 Msaada wangu uu katika Bwana/ aliyezifanya...
Â
Â
Â
Nitayainua Macho Yangu
Nitayainua macho yangu, niitazame milima, msaada wangu utatoka wapi, u katika Bwana wangu x 2 1. Msaada wangu uu katika Bwana /...
Â
Â
Â
Hosana Juu Mbinguni
1. Nani atakayepanda kwenye mlima wa Bwana, nani ‘takayesimama kwenye hekalu la Bwana. Hosana juu mbinguni x5. Nani atakayepanda...
Â
Â
Â
Mpigieni Mungu
1. Mpigieni Mungu kelele za shangwe, nchi yote imbeni utukufu wake, tukuzeni sifa zake Mungu mkuu. Mwambieni Mungu, matendo yako...
Â
Â
Â
Kwa Wingi wa Fadhili Zako
Kwa wingi wa fadhili zako, kwa wingi wa rehema zako, nikushukuruje Bwana, nikushukuruje,mimi nikushukuruje Bwana wangu x2. 1. ...
Â
Â
Â
Nikiziangalia Mbingu
Nikiziangalia mbingu, ni kazi ya vidole vyako, mwezi na nyota za mbinguni ulizo ratibisha wewe x2 Naye mtu ni kitu gani, hata naye...
Â
Â
Â
Nitamhimidi Bwana
Nitamhimidi Bwana, kila wakati sifa zake zi kinywani mwangu x2 ( katika Bwana) Nafsi yangu, itajisifu, wanyenyekevu wasikie wafurahi,...
Â
Â
Â
Ingekuwa Heri Leo
Ingekuwa heri leo, msikie sauti yake msifanye migumu mioyo yenu x2. 1. Njoni tumwimbie Bwana, tumfanyie shangwe mwamba wa wokovu...
Â
Â
Â
Fadhili za Bwana
Fadhili zake Bwana nitaziimba milele x 4. Nitakushukuru ewe Bwana Mungu wangu kwa wema wako wote, ulionijalia maishani mwangu....
Â
Â
Â
Ee Bwana Fadhili Zako
{(Ee Bwana x2) Fadhili zako zikae nasi x2} kama vile tulivyo kungoja wewe (Bwana) kungoja (wewe Bwana x2). 1. Kwa kuwa neno la Bwana,...
Â
Â
Â
Bwana ni Mchunga
Bwana ni mchunga sitahitaji, majani mabichi malisho yangu, ananinywesha maji matulivu, atanirudisha nikipotea. Nipitapo bondeni ...
Â
Â
Â
Nena Nami Bwana
(Nena) nena nena nami Bwana, nena nena nena moyoni mwangu, kwa sauti ya upole nieleze akili zangu Bwana zikuelewe x2 Neno lako ee Bwana...
Â
Â
Â
Walinizunguka Kama Nyuki
Walinizunguka kama nyuki, (lakini) Lakini walizimika kama moto, kama moto wa miibani Walinizunguka kama nyuki, (adui) Lakini walizimika...
Â
Â
Â
bottom of page

