top of page

Kando ya Mito


Kando ya mito ya Babeli ndipo tulipoketi, tukalia tulipoikumbuka-kumbuka sayuni.

1. Katika miti iliyo katikati yake, tulivifundika vinumbi vinumbi vyetu.

2. Maana huko walituchukua mateka, walitutaka tuwaimbie nyimbo za Sayuni.

3. Natuimbeni nyimbo ,nyimbo zake Bwana, katika nchi ya ugeni ee Yerusalem.

4. Ulimi wangu na ugandamane, na kaa la kinywa changu nisipokukumbuka.


Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page