top of page

Share Lyrics and Download Hymns
Get access to all the Hymn categories available at the Hymn & Score Library in this category.
Shukrani Yangu
1. Natazama maisha yangu mimi ya kuajabia kwa baraka ninazozipata toka kwako mungu ninashindwa hata kueleza penzi lako bwana ni neema za...
Aria Mehokete Ngai
Aria mehokete Ngai matiuragira na ningi matitoragio ni uru ( Jehova niamagitagira mahindaini mothe ) x2 Niwe umaheaga giakuria na kunyua,...
Nitaipaza Sauti
Ni nani anayestahili kupewa sifa ni mungu mwenye enzi yote ndiye muumba uabudiwe usifiwe wewe ni mfalme utukufu na heshima Bwana ni...
Niseme nini Ee Bwana
Niseme nini ee Bwana, nitamke maneno gani kinywani nikushukuru jinsi gani, nisimulie vipi mimi, mapito niliyopita kuja hapa nikutukuze...
Asante Twakushukuru
Asante twakushukuru (asante) asante kwa wema wako (asante) asante twakushukuru Bwana Yesu asante x2 Umetulisha mwili na damu, toka...
Sina Budi
Wakati wangu sasa umekwishafika wa kusema asante na kutangaza sifa zake Mungu Baba na maajabu yake Kwa nyimbo za furaha mimi nitaimba kwa...
Ametamalaki
Ametamalaki, ametamalaki Bwana ametamalaki, mbinguni ni yeye, ametamalaki Bwana ametamalaki, duniani ni yeye, ametamalaki Bwana...
Nitasimama Tena
Asante Mungu kwa siku mpya ya wiki mpya ya mwezi mpya wa mwaka mpya nimeiona shauku ya kuona siku nyingine mwezi mwaka mwingine...
Orio Muno Nyasaye
Orio muno omwami khubulamu bwange x4 (Ninakupa sifa pia na utukufu niwe weng’ene omwami we babami boosi) x2 Mungu wa ajabu amenipa uhai,...
Nikupe Nini Wewe, Bwana
(Nikupe nini wewe, Bwana Mungu wangu) x2. (Kwa mema mengi ee Bwana, unayonitendea mimi maishani Mwangu) x2 Umenilinda wiki nzima - Baba...
U Mwema Baba
U mwema Baba umwema, u mwema Baba umwema x2 Ulifungua maji ya bahari ya shamu, wanao wakapita katika nchi kavu. Ulivunja ukuta wa mji wa...
Bwana Moyo Wangu
Bwana moyo wangu hauna kiburi nayo macho yangu hayainuki x2 Wala siji shugulishi na mambo makuu yanayozishinda nguvu zangu x2 Hakika...
Neno Asante
Moyoni mwangu moyoni mwangu nisiposema neno asante nisipokiri wema wa Mungu, ulimi wangu ugandamane na kaakaa na kinywa changu mimi x2...
Ashukuriwe Mwenyezi
Kilindi cha Moyo wangu kimejaa maneno ya kushukuru Ashukuriwe mwenyezi anayeketi katika patakatifu Usiku mchana mwanzo wa mwaka mpaka...
Mwokozi Wangu Yesu
Mwokozi wangu Yesu Hakika unanipenda, umenilisha mwili na damu umeninywesha (Yesu), (Yesu asante sana nakushukuru) x 2 Bwana wangu Yesu...
Mziki Uliokamatana
Sifa kwa Mungu, alyeruhusu yafanyike haya Sifa kwa Bwana, aliyesema yafanyike haya Akatupa sauti aee tuimbe tumtukuze Na vipaji aee...
Nitalisifu Jina
Nitalisifu Jina lake Mungu kwa wimbo wangu, nami nitamshukuru yeye siku zote, kwa sababu Bwana ananipenda daima, amenipa uzima na...
Nasonga Mbele
(Baraka zake (Mungu tu) zinanitosha faraja zake zanipa nguvu, neema zanibariki mkono wake waniongoza (Kwa ujasiri) Nasonga mbele polepole...
Tunapaswa Kushukuru
Utukufu na ukuu una yeye Mungu (daima) anayetupenda daima yeye Mungu (daima) anayetulinda siku zote yeye Mungu daima x2 Tumeamka vizuri...
Nota Mpaka Mbinguni
Tutamsifu Mungu, tutamwimbia Watunzi tutampangia nota mpaka mbinguni Usiku na mchana, jioni na asubuhi Kiangazi masika mpaka Mbinguni...
Bwana Ameitika
Neema amenipa Baraka anashusha maombi na sala zangu zimemfikia na leo Mungu nilimuita usiku na mchana, kwa imani niliamini atajibu na leo...
Naomba Baraka
Kama ulivyo wingi wa nyota za angani ninaomba Bwana uyajaze Baraka maishayangu x2 (Neema zinitiririkie rehema zinitiririkie naomba furaha...
Simama Nami
Uliamua kuniumba bila malipo hakuna wa kukupangia juu ya uhai wangu kwani Ulipendezwa nizaliwe bila kujua jema wala baya na ukauficha...
Yesu Asante kwa Mwili Wako
Yesu asante kwa mwili wako na damu yako chakula cha roho x2 Ulijitoa kwa mwili wako ili tupate uzima Ulimwaga damu yako ili tupate wokovu...
I Come to Thee
I come to thee, to thy presence Lord, With the strife and trouble of my days To rest at thy feet, in thy presence Lord To thy spring of...
Yesu ni Mungu Wangu
Yesu ni Mungu wangu x2 Yesu njoo x2 Yesu ni Mungu wangu Wewe ulienda Kalvary Huko umumbeba msalaba wangu Wewe ulienda Kalvary Huko...
You are my Everything
You are my everything Jesus I am nothing without you Let me never forget you Let me never hurt you x2 Let me always love you Lift you in...
Mungu Baba
Mungu Baba, twakuabudu, twakushukuru, twakusifu) Maisha yangu na nafsi yangu, naitolea mbele yako x2 Mungu Mwana twakuabudu,...
Twitunga Muvea
Twitunga muvea kwaku Asa Mwiai Kwondu wa matei, Asa nutaiwe x2 Nakusunga nitukusunga, nawathi tuyina, asa nutaiwe, nitukukatha x2 Utunete...
Tizakutamandani
Tizakutamandani Yahweh x2 Pazabwino, pazabwino zonze mumatichitira Yahweh x2 Yahweh x4 Tizakutokozani Yahweh x2 Tizakuyimbirani yahweh x2
Thank you Father
Thank you x2 Father x2 Thank you my Lord Thank you x2 Father Thank you my Lord Thank you Jesus Thank you spirit Praise you Love you I...
Thank You
Thank you for giving me the morning Thank you for ev’ry day that’s new Thank you that I can know my worries Can be cast on you Thank you...
Ni Nani Kama Mungu
Ni nani awezae kufananishwa na Mungu ni kitu gani kiwezacho kufananishwa na muumba x2 Wiki nzima amenipa nguvu, amenipa na uhai,...
Asubuhi Nitakuimbia
Ee Bwana nitakushukuru kwa moyo wangu wote x2 Asubuhi nitakuimbia kwa shangwe na vigelegele, nitacheza ngoma na kayamba, kinanda pia...
Asante Yesu
Asante Yesu kwa kuwa wewe u mwema x2 Bwana tunakushukuru kwa kuwa wewe u mwema Bwana tunakuinua kwa kuwa wewe u mwema Bwana tunashangilia...
Asante Yesu Asante
Asante Yesu asante, Asante (Yesu) Asante Yesu asante, Asante (Yesu) Asante kutulisha na kutunywesha Kwa mwili na damu yako x2 Tumekula...
Mpigieni Mungu vigelegele
Mpigieni Mungu vigelegele, mshukuruni Bwana kwa mema yote x2 Sop: Msifuni kwa nyimbo zenye kupendeza, mwimbieni mtukuzeni milele x2 Alto:...
Shetani Katimua Mbio
1. Hapo ndipo tulipomfurahia Bwana Mungu wetu; Hirizi na mizimu yote viliposhindwa kusimama, shetani naye kivumbi kakitimua kakimbia....
Nitamsifu Bwana wangu
Nitamsifu Bwana wangu mda ninaoishi ( nitamwimbia Mungu wangu (mimi), maana kusifu kwapendeza (kweli), kwani kusifu ni kuzuri (mimi),...
Ni Baraka
Ni baraka toka kwa Mungu, kweli kweli ni baraka x2 1. Uzima wetu- Ni baraka 2. Uwezo wetu- Maisha yetu-ni baraka. Huduma...
Pokea Sifa
Pokea shukurani zetu (Zitokazo) vilindini mwa mioyo yetu (Pokea) Asante Hatuna chakukulipa, pokea sifa, pokea, pokea x2 Twakurudishia...
Nînyonete
Nînyonete, ûrïa Ngai wïkaga, arïa othe makwïhokete, (Nï ngûraha magegania na tha ciaku, thengiû Ngai ûrotûgïra)x2 1. Ndarî mûrwaru,...
Zawadi Tosha
Nimetunukiwa tuzo lenye thamani, nimeletewa zawadi toka mbinguni, nimejishindia Mwana wa Mungu nimepewa Yesu zawadi tosha x2...
bottom of page

