top of page

Pokea Sifa

Updated: Feb 27, 2024



Pokea shukurani zetu (Zitokazo) vilindini mwa mioyo yetu (Pokea) Asante Hatuna chakukulipa, pokea sifa, pokea, pokea x2 Twakurudishia Sifa pokea, pokea Na utukufu) sifa pokea, pokea milele, milele) sifa pokea, pokea


  1. Ni neno jema, kushukuru, ni neno jema kukushukuru Bwana, nakuiliimba jina lako ( A: kulii) mbia jina lako mtukufu

  2. Twajua wazi, mafanikio huja kupitia changamoto nyingi, nitanuri lenye moto mkali,(lakini) Mungu hutushindia daima

  3. Haya shime, natuungane, tuungane sote kumshukuru Bwana, kwa kushukuru twaomba tena twaomba, Mungu utubariki daima

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page