top of page
Hamkujua
1. Mbona mlishangaa walipo mhukumu kristo afe Hamkujua ni mwana wa mungu hamkujua kumbe hamkujua yaliyoandikwa yalikukua yanatimia Na...
Hila Zimevunjwa
Mungu alipopanga ukombozi kusudi kutuosha dhambi hizi akakubali kwamba ye mwenyezi afe kifo kibaya kionezi mti wakamuwamba kama mwizi...
Ni Bwana Kafufuka
Nimesikia nyimbo nikiwa mbali nikajiuliza kuna nini kumbe ni Bwana Kafufuka ameshinda mauti Kafufuka ameshinda mauti (ni Bwana) Nimesikia...
Kaa Pamoja Nasi Bwana
Wanafunzi wawili wa Ye-su (wa Yesu) walipokaribia Ema-u (Emau) Yesu alifanya kama ana-taka kuende-lea mbele wakamshawishi wakamshawishi...
Nimefufuka na Bado
Nimefufuka na bado pamoja nawe, Aleluya wauweka mkono wako juu yangu Ee Bwana mchungaji wangu, popote wanifahamu Hakuna chochote kwangu,...
Chereko Yesu Kashinda
Cherekochereko, chereko chereko chereko. Chereko chereko, chereko Bwana amefufuka x2 Kashinda Yesu kashinda wote kashinda kashinda....
Yesu Mwana wa Mungu
Yesu Mwana wa Mungu x2, leo amefufuka. Piga vigelegele x2, leo amefufuka Yesu, Mwana wa Mungu, kweli amefufuka, ahadi yatimia, mzima...
Utuambie Maria
Utuambie Maria Umeona nini njiani? Leo nimeona kaburi wazi Bwana Yesu amefufuka ( ni kweli ) twimbe wote Aleluya x2 1. Nendeni...
Tumwimbie Mwana wa Mungu
Tumwimbie, tumwimbie, Mwana wa Mungu x2. Mwana wa Mungu amefufuka, leo mapema amefufuka. Bwana wa mbingu amefufuka, Mfalme wa mbingu...
Tumwimbie Bwana Wetu
Tumwimbie Bwana wetu kwa shangwe (Hivi leo) kafufuka mkombozi Masiya wetu (Jamani) x 2 Hae! Hae! hee Hae! Hae! Wote:hee Mwokozi wetu...
Tumshangilie
1. Amkeni mliolala myasikie haya,namlioko mbali sasa sogeeni karibu mzisikie habari hizi zakushangaza Bwana Yesu, tumshangilie Mwokozi...
Shangwe Kwake Mfufuka
Ni furaha Yesu kafufuka mkombozi wetu kashinda mauti x2 Utukufu sifa na heshima (kweli)ni kwake yeye kashinda mauti x2 Kweli Bwana Yesu...
Pazeni Sauti
Unastahili sifa zote Yesu ulimshinda mwovu shetani x2 (Watu wote na viumbe vyote Kristu – vinatambua upendo wako x2 Pazeni sauti hizo...
Njoni Wapenzi
Njoni wapenzi tufanye shangwe, Mwokozi Bwana, amefufuka Viumbe vyote tufanye shangwe, Mwokozi Bwana, amefufuka Natufanye shangwe twimbe...
Nitamwimbia Bwana
Nitamwimbia Bwana (Bwana wangu) Nitamwimbia Bwana kwa kuwa ametukuka sana! Bwana ni nguvu yangu na wimbo wangu (nasema) Bwana ndilo jina...
Mimi Nimewatangulia
Mimi nimewatangulia x2 Kwenda mji wa Galilaya x2 nendeni mkawaambie mitume wangu hivyo x2 Wale akina mama wakaondoka mapema, kumpaka...
Kafufuka
Tucheze kwa shangwe, tupige makofi Ushindi ni wetu tuimbe alleluya x2 Kafufuka Yesu amefufuka (fufuka) ametoka mapema asubuhiKaburini...
Inavuma
Sauti inavuma(kulia)sauti inavuma(kushoto)sauti inavuma pande zote zinatikisika ula. Dunia inanesa (kabisa) mbingu zinafurahi (mazima)...
Bwana Yesu Kafufuka
Bwana Yesu kafufuka tumwimbie kwa furaha Aleluya Aleluya aleluya x2 aleluya. Kweli Yesu kafufuka, asubuhi na mapema aleluya. Kaburini...
Bwana Yesu Amefufuka
Bwana Yesu amefufuka, atukuzwe Bwana Mungu wetu. Miisho yote ya dunia, imeuona wokovu wetu. Aleluya, aleluya, ni mzima Bwana...
Bwana Kafufuka
Bwana kafufuka tuimbe,Bwana kafufuka tuimbe aleluya x2 Sop:Utukufu naukuu unayeye hata milele na milele x2 A.T.B:Una yeye,una yeye,yeye...
Bwana Amefufuka
Bwana amefufuka tuimbe aleluya, amefufuka kweli kweli aleluya x2 Utukufu na ukuu una yeye hata milele aleluya x 2 Nimefufuka na bado...
Amefufuka Aleluya
Amefufuka, aleluya, Yesu amefufuka, aleluya. Kaburi lafunguka – Aleluya Mwokozi kafufuka – Aleluya Mapema asubuhi – Aleluya Katoka...
Alifufuka kwa Tetemeko
Aliyemsaliti Bwana ( hukumiwa) ndiye Yuda (ndiye Yuda ) hukumuni ole wako Wamsulubisha Yesu msalabani, wampiga mijeledi, Petero...
Kristu pasaka Wetu
Aleluya sote (sote tuimbe) aleluya (aleluya x3) x2 (Kristu pasaka) wetu amekwisha kutolewa kuwa sadaka basi tuifanye karamu katika Bwana...
Jiwe la Pembeni
Jiwe walokataa waashi, sasa ni jiwe la pembeni, jiwe hilo ni Yesu Masihi Mkombozi wa ulimwengu x2 Yesu walimtesa, akafa msalabani, ...
Ni Shangwe Amefufuka
Ni shangwe Yesu amefufuka x4 (Yeye) kashinda kifo simba wa Yuda yuko mzima dunia yote shangwe, (ni shangwe Yesu amefufuka) x2 ni shangwe...
Kaburini Hayumo
Kaburini hayumo (tena) amefufuka Tufurahi sote (Bwana) amefufuka (Furahini na kuimba kwa shangwe ni raha Mwokozi wetu leo kafufuka ni...
Ikatetemeka Nchi Yote
(Ikatetemeka nchi yote makaburi yakafunguka, (Giza) Giza likafunika nchi ikatetemeka ) x2 Na tazama akashuka Bwana, Mfalme wa Mbingu na...
Chereko Chereko na Vifijo
(Chereko chereko na vifijo, waumini wote pigeni makofi, Yesu aliyekufa msalabani leo hii amefufuka) x2 (Tufurahi na tushangilie, Yesu...
bottom of page

