top of page
Share Lyrics and Download Hymns
Get access to all the Hymn categories available at the Hymn & Score Library in this category.
Atukuzwe Mungu (Traditional)
(Masifu Baada ya Baraka ya Ekaristi) Atukuzwe Mungu atukuzwe Mungu - Atukuzwe Mungu, atukuzwe, Litukuzwe Jina lake takatifu - Atukuzwe...
Â
Â
Â
Nakuabudu Yesu Katika Hostia (TB I 10-2)
Nakuabudu yesu katika Hostia, Uu Mungu kweli na mwanadamu katika sakramenti. Nakuabudu - Nakuabudu, Mungu fudi fudi, Ee Mfalme mtukufu wa...
Â
Â
Â
Ee Yesu Mungu Mzima
Ee Yesu Mungu mzima – tunakusujudia, Chakula cha nduguzo kweli umetupenda Tusitengane, Yesu tusiachane, tujalie Karamu yako tamu Karamu...
Â
Â
Â
O Salutaris Hostia
O Salutaris Hostia Quae coeli pandis ostium Bella premunt hostilia Da robur fer auxilium Uni trinoque Domino Sit sempi terna gloria Qui...
Â
Â
Â
O sacrament most holy
O sacrament most holy O sacrament divine All praise and all thanksgiving Be every moment thine. Now come, all you who labour In sorrow...
Â
Â
Â
Tukuikia Ostiani
Tukuikia Ostiani, Yesu waitu ekalite Na nthakame, mwii na ngoo we Ngai wakwa evo vyu. Yesu waitu watwitisye, ngoo situ ivinda yingi Osa...
Â
Â
Â
Tuguitikia Ostiaini
Tuguitikia Ostiaini Yesu witu aikarite na thakame mwiri muoyo, ungai wake uri-ho Ostia ino utherete ni uguni wa thi yothe ukai andu mwi...
Â
Â
Â
Tantum Ergo
Tantum ergo Sacramentum Veneremur cernui: Et antiquum documentum Novo cedat ritui: Praestet fides supplementum Sensuum defectui....
Â
Â
Â
Ninakuabudu Ee Mungu Wangu
Ninakuabudu e Mungu wangu Japo wafichika ninakutazama Nakuona kwa imani ee Mungu wangu Chini ya maumbo hayo ya hostia Ninakuabudu Mungu...
Â
Â
Â
Ninakuabudu Mungu Wangu
Ninakuabudu Mungu wangu Unayejificha altareni Ninakutolea moyo wangu Usiofahamu siri yako Mafahamu yangu yadanganya Yanapokuona na kugusa...
Â
Â
Â
Bwana Yesu Alipokwisha Kula
Bwana Yesu alipokwisha kula pamoja na wafuasi wake aliwaosha miguu. Bwana Yesu alipokwisha kula pamoja na wafuasi wake, aliwaosha miguu....
Â
Â
Â
Asiregee Moyowe
Asiregee moyowe, asitoke machozi Akikumbuka Mungu wake, kwa yake makombozi, mtoa roho msalabani, mtaka kufa mwenyewe, kwa sababu...
Â
Â
Â
Jesus my Lord
Jesus my Lord my God my All How can I love thee as I ought And how revere this wondrous gift So far surpassing hope or thought Sweet...
Â
Â
Â
Muthenya wa Kana Mutheu
Muthenya wa Kana Mutheu Yesu niwatwikithisye mukate na ndivai Mwii na nthakame yake Undu uu n'unene wa Ngai kutune mwii wake Wia wa moko...
Â
Â
Â
Bwana Alipokwisha Kula
{ Bwana Yesu alipokwisha kula pamoja na wafuasi wake, aliwaosha miguu yao, miguu yao } *2 Bwana alipokwisha kuwaosha miguu yao Akaketi...
Â
Â
Â
Bwana Yesu Alipokwisha Kula
Bwana Yesu alipokwisha kula pamoja na wafuasi wake, Aliwaosha miguu yao Bwana Yesu alipokwisha kula pamoja na wafuasi wake, aliwaosha...
Â
Â
Â
Tuiabudu
Tuiabudu siku zote Ekaristi Takatifu x2 Msifuni Bwana enyi mataifa yote, msifuni enyi watu wote. Maana fadhili zake kwetu ni kubwa...
Â
Â
Â
Sacramenti Kubwa
Sacramenti kubwa hiyo, twaheshimu kifudi, na sheria, ya zamani ikomeshwe na hiyo, yafichikayo machoni imani huyaona. Mungu Baba, Mungu...
Â
Â
Â
Kikombe Kile Tubarikicho
Kikombe kile tubarikicho ni ushirika wa damu ya Kristu x2 1. Tunamshukuru Mungu / kwa kikombe cha Baraka. 2. Hivyo tunashiriki / damu...
Â
Â
Â
Hii ni Ekaristi
Hii ni Ekaristi aliyotuachia, Bwana Yesu Kristu, Kristu, Mkombozi wa dunia. Imbeni, imbeni kwa furaha,sifuni, sifuni Ekaristi, alimo Yesu...
Â
Â
Â
Kikondoo cha Mungu
Kikondoo cha Mungu mkate wa mbinguni, mlishi wa roho yangu nakuabudu Ubabangu mwema na msimamizi, mpaji wa uzima wangu Mwokozi Fumbo...
Â
Â
Â
Ee Yesu Tunakuabudu
Ee Yesu Tunakuabudu x2 Tunakuabudu, Ee Yesu Mwokozi ulitukomboa, ulituokoa. Unapojificha hakuna mashaka, ni wewe Mwokozi tunayeabudu...
Â
Â
Â
Tukipenda Wenzetu
Tukipenda wenzetu kati yetu Mungu yuko.x2 1. Aliyetufanya tuwe ndugu, ndiye Yesu ndugu yetu, chuki yote na hasira, kati yetu...
Â
Â
Â
Nawapa Amri
BASS: Nawapa amri ALL: Amri pendaneni, (asema Bwana) (kama vile mimi nilivyowapenda ninyi, (nanyi), nanyi pia pendaneni) x2 Wapenzi na...
Â
Â
Â
Mkizipenda Sheria Zangu
Mkizipenda sheria zangu,(mimi) Nitawaombea kwa Baba yangu (na yeye) Atamtuma Roho wa kweli (ndiye) atakaye wafariji mioyo. 1. ...
Â
Â
Â
Alhamisi Kuu
1. Alhamisi kuu Yesu alituwekea Ekaristia takatifu, chakula cha roho Tuimbe - tuimbe, Tumshukuru - tumshukuru Yesu, mkombozi wetu Tuimbe...
Â
Â
Â
Ee Viumbe Karibuni
Ee Viumbe karibuni, Mungu wenu kamsifuni Ndiyo sakramenti kuu, mwili damu ya Yesu x2 Ee Maria we utaanza, kumwimbia we wa kwanza Nanyi...
Â
Â
Â
bottom of page

