Nakuabudu Yesu Katika Hostia (TB I 10-2)
- Anonymous
- Feb 24, 2024
- 1 min read
Updated: Mar 11, 2024
Nakuabudu yesu katika Hostia, Uu Mungu kweli na mwanadamu katika sakramenti. Nakuabudu - Nakuabudu, Mungu fudi fudi, Ee Mfalme mtukufu wa milele
Ee Yesu kwa upendo unakaa kwetu, u mgeni wetu toka mbinguni, twakuja kuabudu
Baraka yako Yesu utupatie, tukinge na maovu ya leo, tuishi kwa Amani
Uwabariki pia wapenzi wetu, uwajalie neema yako , watoe shukrani kuu

Comments