top of page
Hosana mwana wa Daudi
Hosana Hosana mwana wa Daudi Hosana hosana hosana juu mbinguni x2 Ndiwe mbarikiwa yeye ajaye kwa jina lake Bwana Mfalme wa Israeli Tazama...
Â
Â
Â
Tumwimbie Hosana
Enyi vijana tuandamaneni sote, tukishika MATAWI ya mitende mikononi, tumshangilie Mfalme wa Dunia yote, Bwana aliye juu, Mfalme Mkuu...
Â
Â
Â
Hosana Mwana wa Daudi
Hosana mwana wa Daudi Hosana Mwana wa Daudi, Hosana (Hosana). Mbarikiwa anayekuja kwa jina lake Bwana Mungu, Hosana (Hosana) Hosana...
Â
Â
Â
Inueni Vichwa Vyenu
Inueni vichwa vyenu enyi malango Inukeni enyi malango ya milele Mfalme wa utukufu apate kuingia Ni nani huyu mfalme wa utukufu Bwana...
Â
Â
Â
Inueni Vichwa Vyenu
Inueni vichwa vyenu, chukueni matawi kumlaki Bwana, kumlaki Bwana Mfalme amepanda punda Na sisi sote tuimbe, Mfalme wa utukufu x3...
Â
Â
Â
Mfalme wa Amani Tumwimbie
Mfalme wa Amani - tumwimbie hosanna juu *2 Anakuja kwetu - hosanna juu Mwana wa Daudi - hosanna juu Anapanda punda - hosanna juu Mfalme...
Â
Â
Â
Mfalme wa Israeli
Ilipofika siku kuu Yerusalemu yesu alipanda punda Wana Israeli wakaja wakapiga kelele wakisema Hosanna - hosanna hosanna x2 Mbarikiwa...
Â
Â
Â
Hosanna Mwana wa Daudi
Hosanna Mwana wa Daudi, ndiye mbarikiwa Yeye ajaye kwa jina la Bwana, Mfalme wa Israeli Hosanna juu Mbinguni enyi watu wote pigeni makofi...
Â
Â
Â
Mfalme Mtukufu
Mfalme mtukufu mpeni heshima Fungueni lango ataingia Mfalme gani huyu mwenye heshima Ndiye mwenye nguvu ya kutawala Lango la milele wazi...
Â
Â
Â
Siku Sita
Siku sita (sita) kabla ya Pasaka, watoto wa Kiyahudi walimlaki Bwana x2 Wakishika matawi ya mitende mikononi wakiimba wakisema (Hosanna...
Â
Â
Â
Tupalize Sauti
Tupalize sauti zetu twimbe kwa furaha, kama vile watu wote walivyomwimbia, Rabbi Yesu alipoingia Yerusalemu x2 Hossana, hosanna,...
Â
Â
Â
Mfalme wa Amani
1. Mfalme wa amani mpeni heshima, Yerusalem mjini anaingia, na unyenyekeo na upole mkuu, anapanda punda Mwana wa Mungu. Hosana juu!...
Â
Â
Â
Mfalme wa Amani Anakuja
Mfalme wa amani anakuja kwetu, Mwana wa Daudi mshangilieni.x2 1. Yerusalem aingia Bwana Mwana wa Daudi mshangilieni, ni mnyenyekevu...
Â
Â
Â
Mwimbieni Binti Sayuni
1. Mwimbieni binti sayuni ee watu, yuaja na mwenye upole / tazama mfalme wako yuaja kwako / kapanda punda mwana wa punda. Sauti nazipazwe...
Â
Â
Â
Hosana Mwana wa Daudi
Hosana hosanna, Mwana wa Daudi x2 1. Ndiye mbarikiwa yeye ajaye, kwa jina la Bwana, Mfalme wa Israeli. 2.Tazameni Mfalme anayekuja, kwa...
Â
Â
Â
Hossanna Mfalme wa Israeli
Wakatwaa matawi matawi ya mitende wakatoka nje ili kwenda kumlaki, wakipiga kelele hosana hosana mbarikiwa ajaye kwa jina la Bwana Yesu...
Â
Â
Â
Inueni Vichwa Vyenu
Inueni vichwa vyenu enyi malango Inukeni enyi malango ya milele Mfalme wa utukufu apate kuingia Ni nani huyu mfalme wa utukufu Bwana...
Â
Â
Â
bottom of page
