Inueni Vichwa Vyenu
- Anonymous
- Nov 12, 2023
- 1 min read
Inueni vichwa vyenu, chukueni matawi kumlaki Bwana, kumlaki Bwana Mfalme amepanda punda
Na sisi sote tuimbe, Mfalme wa utukufu x3 mfa-a-a-a-alme Mfalme wa utukufu, mfalme wa utukufu
Tandazeni nguo zenu. . .
Inueni vichwa juu . . .
Yapigeni na makofi .. .

Comments