top of page
Share Lyrics and Download Hymns
Get access to all the Hymn categories available at the Hymn & Score Library in this category.
Mama Mwema
Wewe ni mama mwema mama Maria (Mama yetu) Maria mtakatifu utuombee (Kwake mungu) Sisi Wana wa dunia twakukimbilia (Mama yetu) Maria...
Mama Tunakusalimu
Salamu salamu Mama (Maria) umejaa neema tele (Ee mama) tunakusalimu Mama (Salamu) Mama tunakusalimu, Sop/ Alto: Ee Maria dua na sala zetu...
Mama Maria
Maria Maria Mama wa rehema sisi wanao twakuja kwako, wewe uliye tegemeo letu twakulilia utusikie, wewe ni mama mwaminifu mama mpole mama...
Hongera Mama Maria
Hongera Mama Maria hongera Mama Maria kumzaa mtoto (aliyezaliwa ni mwokozi wa dunia) x2 Amekuija duniani kutuokoa tuimbe tumshangilie...
Twakukimbilia Maria
Twakukimbilia Maria, Mama Bikira mwenye huruma tutie nguvu ya safari tufike Kwa mwanao Yesu Kristu Angaza njia mama Maria Tufike makao ya...
Tupokee Mama Maria
Tupokee Mama Maria, tuongoze Mama Maria tufikishe kwa mwanao Mbinguni Mama yetu mwema Maria Sisi wanao twakukimbilia Utusaidie kwa...
Tunakusalimu
Ewe Mama Maria, Mama yetu Mwema Mama wa Mungu. Sisi wanao leo, Tunakusalimu, salamu Mama Mama yetu mwema, Mama yetu Maria Sisi...
Salve Regina
Hail, holy Queen enthroned above, Salve Regina! Hail, Queen of mercy, Queen of love, Salve Regina! Sing her praise, ye Cherubim! Join our...
Salamu Salamu Malkia
Salamu salamu malkia wa mbingu Salamu salamu mama wake Mungu (sisi wana wako twaja mbele yako, tupokee mama sisi mali yako) x2 Kukupenda...
Moyo Wangu Wamuadhimisha
Moyo wangu wamuadhimisha Wamuadhimisha Bwana, na roho, roho yangu, Roho yangu yashangilia, (shangilia) yashangilia, Roho yangu...
O Sanctissima
O Sanctissima O Piissima, Dulcis Virgo Maria, Mater amta intemerata Ora ora pro nobis Tota pulchraes O Maria, Et macula non est in te,...
O Most Blessed
O most holy holy Mother x2 My most loving loving Mother x2 O most faithful faithful woman x2 My most caring caring Mother x2 We call you...
Mama Yetu Maria
Mama yetu Maria, mama twakushangilia Ni wewe mama yetu, tunayetegemea Wewe umejaa neema tunakushangilia - Maria mtakatifu tunakushangilia...
Mary Loving Mother
Mary loving Mother - Mary loving Mother On our kneel we pray you - Listen to your children - Mary loving Mother Mary love, Mary love Mary...
Maria Mwombezi
Maria mwombezi sisi wana wako katika shida zetu tuwie kinga yetu (Maria) Twakuomba sana tupe neema zako tuyashinde magumu tufike kwa...
Maria Bikira Tumshangilie
Maria Bikira, tumshangilie Mama yetu bora tumkimbilie Tumsifu, tumsifu, tumsifu Maria x2 Pasipo kilema tangu asili Waitunza nzima hiyo...
Immaculate Mary
Immaculate Mary, your praises we sing. Who reignest with Christ our Redeemer and King. Ave ave ave Maria Ave ave ave Maria In Heaven the...
Hail Queen of Heaven
Hail Queen of heaven, the ocean star, Guide of the wand’rer here below Thrown on life’s surge, we claim thy care, Save us from peril and...
Ewe Maria Umebarikiwa
Ewe Maria umebarikiwa kuliko wanawake wote (Umetuzalia mtoto mwanaume mwenye ufalme mabegani pake) x2 Bikira Maria umebarikiwa kuliko...
Mama Maria Mama
Mama Maria mama tunakusalimu, wewe uliyetukuka uwinguni x2 Tunajinyekeza mbele ya uso wako, tunakuimbia nyimbo zetu tunakusifu x2 Ee mama...
Daily, Daily, Sing to Mary
Daily, daily, sing to Mary, sing my soul, her praises due; all her feasts, her actions honour, with the heart’s devotion true. Lost in...
Bikira Maria Uliyekingiwa
Bikira Maria uliyekingiwa dhambi ya asili (ee mama) (utuombee (sisi) kwa mwanao (mpenzi) Yesu Kristu aliye mbinguni) x2 Dhambi ya asili...
St. Veronica Mass
Ee Bwana (Bwana Mungu) utuhurumie (ee Bwana) ee Bwana Mungu (tuhurumie) utuhurumie (ee Bwana ee Mungu Mungu utuhurumie Ee Yesu (Kristu)...
Nitaimba na Kumtukuza Muumba Wangu
Nitaimba na kumtukuza muumba wangu hata nizeeke, nitembee na fimbo, nitembee na fimbo ili nimsifu Bwana Mungu wangu x2 Mama Maria...
Mama wa Msalaba
Yesu ananipenda hataki kunificha ukweli, tazama huyu Mama, huyu ndiye Mama yako. Pale msalabani alitamka bila kusita, tazama huyu ndiye...
Yametimia
1. (Utuombee x 2) sisi wanawako tunakuheshimu, sisi wanawako tunakutukuza. (Utuombee x 2) Mama yetu Maria: kama ilivyo tabiriwa nao...
Usia wa Maria
Sisi wana wa dunia tukumbuke maneno aliyosema Bikira Maria, Alipo watokea watoto wa Fatima, Lucia, Francisi na Yasinta, (Alisema tusali,...
Tupokee Mama Maria
Tupokee Mama Maria, Tuongeze Mama Maria, tufikishe kwa mwanao mbinguni (x 2) 1. Mama yetu mwema Maria, sisi wanao twakukimbilia utusaidie...
Tumwimbie Maria
Tumwimbie, Maria, nyimbo zetu tumshangilie x2 1. Kwa utiifu alikubali, kuibeba mimba ya Mungu ndipo nasi tuweze hata, kuuona ufalme wa...
Tumsifu Maria
1. Tumsifu Maria enyi wanaye, tutoe salamu, tumshangilie Ave, Ave, Ave, Maria x2 2. Katika uwingu ni mfalme mkuu, nyuma yake Mungu wa...
Tufurahi Sote Katika Bwana
Tufurahi sote katika Bwana, Tunapoadhimisha Sikukuu kuu, kwa heshima ya Bikira Maria (x2) Malaika wanafurahia mataifa wakovu wake, Bwana...
Salamu Salamu Maria
Salamu, salamu Maria, Mama yetu wa Fatima, sisi wana wako tunakusalimu x2 UliwaambiaFrancis, Lucia na Jacinta, tusali Rosary ili tuokoke...
Salamu Maria
Salamu Maria, salamu mbarikiwa, Bikira daima, na Mama yake Yesu Kristu Ewe Mama utuombee, kwa mwana wako Yesu Kristu, sisi wanyofu...
Salamu Maria
Salamu Maria salamu, salamu Bikira Mama Maria, Mama wa Mkombozi, Mama Maria, umejaa neema nyingi. Utusaidie ee Mama, tuweze kufika kwako....
Salaam Maaria
Salaam x2 Mama Maria x2 Twakutukuza, twakuheshimu Mama Maria. Wewe uliye, tupa rosari x2- tusikilize tuhurumie Mama Maria Umebarikiwa...
Pokea Salamu Zetu
Pokea salamu zetu maria, maria uliye mwombezi wetu, pokea salamu zenye furaha a ee a ee a ee x2 1. Maria uliye furaha yetu (a ee a ee a...
Nyota ya Matumaini
Mama yetu maria, ni mama wa neema, tena ni kimbilio la watu wote wakosefu, ni msaada wa kweli mama tuombee. Ni nyota, ni nyota, mama yetu...
Nitaweka Uadui
Nitaweka uadui kati yako wewe, kati yako wewe (kati yako wewe na huyo mwanamke x2 1. Ewe Mungu Baba uliyetuleta, uliyetuletea ukombozi....
Nitafurahi sana Katika Bwana
Nitafurahi sana katika Bwana, maana amenivika mavazi ya wokovu, amenifunika vazi la haki, kama bibi harusi ajipambavyo Kwa vyombo vya...
Ni Nani Mama wa Kanisa
1. Ni nani Mama wa kanisa – Birira Maria x2. Alimkanyaga shetani, akamnyanganya uwezo, Bikira Maria x2. 2. Ni nani Mama wa neema – Bikira...
Nilaki Mama Maria
1. Maria Mama wa Yesu siku zimepita, natamani kuwa nawe huko juu mbinguni, (Nakuishi pamoja na watakatifu) x2 Nilaki (Maria) nilaki (ee...
bottom of page

