Yametimia
- Anonymous
- Nov 1, 2023
- 1 min read
1. (Utuombee x 2) sisi wanawako tunakuheshimu, sisi wanawako tunakutukuza.
(Utuombee x 2) Mama yetu Maria: kama ilivyo tabiriwa nao manabii dunia yote inasujudu utuombee.
2. (Tunakuomba x 2) upokee salamu yake Gabriel, kwa amani tamu tutasitarehe
3. (Tunakusihi x 2) Jionyeshe Mama mbele ya mwana wako, salamu na sala upokee kwake

Comments