top of page

Uzuri wa Kifo
Basi ndugu zangu, hatimaye imetosha Acheni kunung'unika kuhusu kifo Jitayarisheni ili mfe kifo chema Hiyo hekima ya kweli na ucha Mungu...
Hapa We Msafiri
Hapa we msafiri simama na tazama (simama na tazama) Nimekufa leo, kesho - ni zamu yako (ona) ona vema nilivyowekwa humu, Na nilivyoacha...
Binadamu Ni Mavumbi
Binadamu, binadamu ni mavumbi Mavumbini - mavumbini atarudi Na tukifika - huko tutaimba aleluya Makao - makaoni ya raha, ya raha (na...
Wana Wali
(Ufalme wa Mungu utafanana na nao wanawali kumi waliokwenda kumlaki bwana Harusi harusi watano wao walikuwa pumbavu watano (wao walikuwa...
Nitayainua Macho Yangu
Nitayainua macho yangu, nitazame milima, msaada wangu utatoka wapi, uu katika Bwana wangu x2 Msaada wangu uu katika Bwana/ aliyezifanya...
Shambani mwa Bwana
Utavuna ulichopanda x 2 utavuna ulicho panda, ulicho panda utavuna Bwana Yesu ndiye mchungaji mwema utavuna ulichopanda. Shambani mwa...
Natamani Mji wa Uzima
Makao furahi tele ndugu alienda kuandalia Bwana x2 (kasema hakika nitarudi kuwa chakua wale watenda mema x2 Natamani kufika mji wa uzima...
Mwokozi Wangu
1. Mwokozi wangu kwa pendo lako, uliita kwako, ili mimi niweze daima, kukutumikia Nitaweza, naweza kweli ukinisaidia, kwa nguvu zako...
Nitayainua Macho Yangu
Nitayainua macho yangu, niitazame milima, msaada wangu utatoka wapi, u katika Bwana wangu x 2 1. Msaada wangu uu katika Bwana /...
Maisha Matamu
Na njia mbinguni kweli ni nyembamba kabisa na wale walio nao ni watu wake Mungu tu x2 1. Maisha matamu kweli yako kwake Yesu Kristo...
Lala Vyema Rafiki
Lala rafiki, lala mpenzi, laza kichwa chako kwa Mwokozi, lala vyema, lala usingizi (lala) lala lala vyema. Lala mpenzi, lala lala...
Lala Salama
Lala mpenzi ulale salama, kwani ya dunia umeimaliza; Umerudi mbele zake Mungu, lala lala salama x2 Lala salama – lala lala salama Mpendwa...
Kiongozi wangu Yesu
1. Kiongozi wangu Yesu niongoze mimi, niingie mlangoni mwako, nikayaone mema uliyoniahidi,kabla lango halijafungwa Lango lile la mbinguni...
Katika Mji Mwema
1. Katika mji mwema mbinguni kwa Mungu x2, ndiko ahadi zetu ziendako x2 (mji wangu wee, (mji wangu wee), uko mbinguni juu (uko mbinguni...
Nimepiga Vita
Nimepiga vita, vilivyo vyema, Vita vya roho na mwendo nimeumaliza x2 Sasa nangojea kupewa taji ya washindi (Na) sio mimi peke yangu x2...
Mpokee Mtumishi Wako
Ee Mungu Baba Mwenyezi tuko hapa mbele zako, Tunakulilia Baba utusikilize) x2 Usiyakumbuke Baba makosa aliyotenda, umsamehe makosa ya...
bottom of page

