top of page

Nitayainua Macho Yangu

Nitayainua macho yangu, nitazame milima, msaada wangu utatoka wapi, uu katika Bwana wangu x2

  1. Msaada wangu uu katika Bwana/ aliyezifanya mbingu na nchi x2 iyoo mimi.

  2. Asiache mguu wako usogezwe/ asisinzie yeye akulindaye x2 iyoo mimi.

  3. Naam hatasinzia wala hatalala usingizi/ yeye ndiye mlinzi wa Israeli x2 iyo mimi.

  4. Bwana ndiye mlinzi wangu/ Bwana ni uvumilivu / wa mkono wako wa kuume x2 iyo mimi.

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page