top of page
Shangwe za Noeli
Noeli Noeli amezaliwa shangwe za Noeli amezaliwa aleluya tushangilie x2 Usiku wa manane kazaliwa mwokozi Yesu Aleluya aleluya, ndiye...
Â
Â
Â
Pangoni
Pangoni pangoni siyo tena kwenye wanyama watupu kwenye wanyama tu huko kuna Mungu huko pamoja na sisi x2 Pangoni kuliko duni ndiko yuko...
Â
Â
Â
Ni Wapi
Utangulizi Ni wapi ni wapi ni wapi amezaliwa mfalme Chorus Ni Bethlehemu amezaliwa Yesu mji wa Daudi amezaliwa Kristu (Ee ni ni shangwe...
Â
Â
Â
Tushangilie Yesu Amezaliwa
Basi tushangilie shangwe shangwe shangwe tupigeni makofi shangwe shangwe shangwe kwani humu mna nini, ni mwana wa Mungu aliyezaliwa x2...
Â
Â
Â
Oh! Come Emmanuel
Rejoice! Rejoice! Emmanuel shall come to you, O Israel! Oh, come, oh, come, Emmanuel, and ransom captive Israel, that mourns in lonely...
Â
Â
Â
O Little Town of Bethlehem
O little town of Bethlehem How still we see thee lie Above thy deep and dreamless sleep The silent stars go by Yet in thy dark streets...
Â
Â
Â
The Drummer Boy
Come they told me - Pa rum pum pum pum A new born King to see - Pa rum pum pum pum Our finest gifts we bring - To lay before the kIng -...
Â
Â
Â
Feliz Navidad
Feliz Navidad x3 Feliz Navidad x3 I wanna wish you a Merry Christmas I wanna wish you a Merry Christmas I wanna wish you a Merry...
Â
Â
Â
Ni usiku wa Manane
Ni usiku wa manane, mtoto kazaliwa Malaika wanaimba, wimbo huu mzuri Gloria hosanna in excelsis x2 Wachungaji makondeni na mifugo yao...
Â
Â
Â
Adeste Fideles
Adeste Fideles laeti triumphantes, Venite, venite in Bethlehem. Natum videte, Regem Angelorum Venite adoremus, Venite adoremus, Venite...
Â
Â
Â
Tushangilie Amezaliwa
Katika mji wa Daudi, malaika ametangaza Kwamba kweli amezaliwa kwetu Emmanueli Yaani Mungu pamoja nasi Na tushangilie, tushangilie na...
Â
Â
Â
Usiku wa Raha
Usiku wa Raha, uwinguni kung'aa wachunga shambani waangazwa gizani x2 Na Neno waambiwa la Mtoto mzaliwa Wachunga twende upesi tuje yakini...
Â
Â
Â
Pangoni Humu
Pangoni humu amezaliwa mtoto Yesu Wachungaji njooni tumwabudie mtoto Yesu Malaika (wote) wanaimba - Utukufu kwa Mungu juu mbinguni Na...
Â
Â
Â
Umunthi Nduani ya Ndaviti
Umunthi nduani ya Ndaviti, Yesu nusyaiwe Mwovosya--Nusyaiwe Na tuthi--tukamuthaithe Mwovosya wa nthi Ete thaavu, ete uvumba na manemane...
Â
Â
Â
Ni Furaha Tushangilieni
Ni furaha tushangilieni, kazaliwa Mwokozi Yesu ni furaha tele Bethlehem Ule utabiri uliosemwa na Isaiah umetimia Yesu Kristu mwana wa...
Â
Â
Â
Tuliona Nyota Yake
Tuliona nyota (tuliona nyota) yake (kule) mashariki Na tumekuja na zawadi kumsujudia Bwana Yesu Kristu alipozwaliwa Bethlehemu ya Uyahudi...
Â
Â
Â
Stille Nacht!
Stille Nacht! Heil'ge Nacht! Alles schläft; einsam wacht Nur das traute hoch heilige Paar. Holder Knab' im lockigen Haar, Schlafe in...
Â
Â
Â
Zanena Siku Kuu
Zanena, siku kuu, Kengele za juu, Waumini furahini, Mkombozi mkumbusheni Mzawa leo Bethlehemu Mzawa leo Bethlehemu Ni hii leo, siku heri,...
Â
Â
Â
Kimya Bara na Bahari
Kimya bara na bahari, kimya mbingu na dunia Bwana na Muumba wenu, mtoto Yesu asinzia Kimya, kimya, asinzia, mpenzi wetu mtoto Yesu x2...
Â
Â
Â
Heri Mtoto Yesu
Heri, heri Mtoto Yesu Heri, heri Mtoto Yesu Heri maziwa uliyonyonya Heri na tumbo lililo kuzaa Heri maziwa uliyonyonya Heri na tumbo...
Â
Â
Â
Haya Twendeni Wote
Haya twendeni wote kule Bethlehemu, tukamwone, tukamwone, Mkombozi wetu x2 Amelazwa nyasini -huyo mtoto Yesu Mnyonge na mkiwa - huyo...
Â
Â
Â
Amezaliwa Yesu
Amezaliwa Yesu - tuimbe aleluya Ni Mwana wake Mungu - tuimbe aleluya Aleluya Mwokozi wa dunia aleluya Kashuka kwetu sisi Amezaliwa Yesu...
Â
Â
Â
Mwokozi Wetu Amezaliwa
Mwokozi wetu amezaliwa, njooni tumsifu na tumwabudu Pamoja na malaika Mbinguni, tumshangilie tuimbe aleluya Pamoja na malaika Mbinguni,...
Â
Â
Â
Kazaliwa Mtoto Mungu
Kazaliwa mtoto Mungu, binadamu wote furahini Kazaliwa Mtoto Mungu, umwendee wimbo wangu Tangu elfu nne miaka walimwagua manabii Tangu...
Â
Â
Â
Ni Kweli Amezaliwa
Ni kweli amezaliwa Mkombozi wetu Masiha Malaika wanaimba kwa furaha wakimsifu Bwana (Na sisi tunafurahia Mkombozi wetu kazaliwa Na utumwa...
Â
Â
Â
Bwana Mungu Aliona
Bwana Mungu aliona Mwanakondoo apotea Kwa upendo akamtoa Mwana wake wa pekee Alelu - aleluya kazaliwa Yesu mwa - Yesu Mwana wa Pekee...
Â
Â
Â
Mwathani ni muciare
Nigikeno kinene muno ino thi itu Mwathani ni muciare Aciaritwo niundu witu ithui othe nigikeno kinene Otauria manabii maugite Ariithi...
Â
Â
Â
Salelaka Mokonzi
Bolingo bwa nzambe boleki bonene, Wana atindeli biso Yesu mobikisi x2 /b/ Salelaka Mokonzi okoyoka esengo x9 /t/ Salelaka Mokonzi okoyoka...
Â
Â
Â
Twendeni Wote Bethlehemu
Twendeni wote leo Bethlehemu Twendeni - Twendeni wote leo (twende) Tukamwone Masiya amezaliwa Ni Mwokozi wa watu wote duniani (duniani)...
Â
Â
Â
Tuliona nyota
Tuliona nyota ikitoka Mashariki [s/t: Nasi] tumekuja kumsujudia Bwana Nao waliofikiwa na habari hii walifurahia na kusema Mamajuzi...
Â
Â
Â
Mwokozi Amezaliwa
Mwokozi amezaliwa Tufurahi tuimbe aleluya tumshangilie tufurahi (Leo) Tumwimbie, Tumwimbie nyimbo za Shangwe (Za shangwe) aleluya Ni...
Â
Â
Â
Mbingu zimenena
Mbingu zimenena leo x2 Na mawingu mawingu oh oh yakammwaga Mawingu yakammwaga mwenye hadhi Uu uu [uu] nchi ikakombolewa Uu uu [uu] Dunia...
Â
Â
Â
Huyu ndiye Emmanueli
Huyu ndiye Emmanueli yaani Mungu pamoja nasi Aliyetajwa na malaika kwamba atakuwa mkombozi Tufurahi aleluya tufurahi aleluya Mungu mwana...
Â
Â
Â
Hongera Maria
Hongera hongera mama Maria kwa kumzaa mwanao leo hii Bwana Yesu lala lala mtoto Yesu lala lala Ee mtoto Yesu siuzie mwanzo wa Mungu...
Â
Â
Â
Wachungaji Wakaenda kwa Haraka
Wachungaji wakaenda kwa haraka wakamkuta Maria na Yosefu (na yule) Mtoto mchanga amelala amelala horini Malaika akawaambi, ninyi,...
Â
Â
Â
Twawatakia Krismas Njema
Twawatakia Krismas njema Twawatakia Krismas njema Twawatakia Krismas njema Na heri ya mwaka mpya. Twawaletea habari njema, wewe na ndugu...
Â
Â
Â
Malaika Njooni Toka Juu
Malaika njooni toka juu, tazameni huyu mtoto Imbeni pigeni parapanda, imbeni aleluya Aleluya aleluya, aleluya aleluya x2 Kwa sauti nzuri...
Â
Â
Â
Ni Usiku Kweupe
Msiche hayo mwende mbio wachunga Ni Masiha ashukiao Karibuni mtazameni mzaliwa Masiha hapo pangoni Twaarifu aliyelazwa chini Mwana Mungu...
Â
Â
Â
Leo Yesu Kazaliwa
Leo Yesu kazaliwa, wakristu twashangilia Habari njema kwa Wakristu, kokote washangilia Amezaliwa Mkombozi, atuokoe dhambini Mwokozi...
Â
Â
Â
Matuku Mavika
Matuku mavika ma kwithesya Malia na Yosevu maendie Yelusaleme Kwianana na maandiko miao ya Mose Mambatie na kana Yesu, makakanengane Kwi...
Â
Â
Â
Kaisali Aumisye Mwiao
Kaisali aumisye mwiao Kaisali aumisye mwiao, ni kana andu onthe maandikwe x2 Kila mundu na ndua yoo Kila mundu na ndua yoo, andu onthe...
Â
Â
Â
Malaika Kaleta Noeli
Malaika kaleta Noeli ya kwanza, Kwa wachunga kondoo katika makonde, Bethlehemu wakawa walinzi wa zamu, Wakaona usiku ajabu ya nuru Noeli,...
Â
Â
Â
Hodi Wachunga
Hodi wachunga, msiwe na woga Amkeni upesi, Bethlehemu mje nasi Alipozaliwa Mwokozi wenu Haya twendeni, yumo pangoni Nyasi alalia...
Â
Â
Â
Hodi Ee Wachunga
Tukamuone Mtoto, tumwimbie na nyimboTumpigie na ngoma, aleluya leo x2 Hodi ee Wachunga, amkeni msiwe na woga, Amkeni upesi amkeni hima...
Â
Â
Â
Mwana wa Mungu Amezaliwa
Mwana wa Mungu (Mwana wa Mungu) amezaliwa (amezaliwa) Yeye ni Mungu (Yeye Mungu) tukamwabudu Mwana wa Mungu kashuka kwetu Yeye ni Mungu...
Â
Â
Â
Sifuni Sifuni
Sifuni sifuni Upendo wake Mungu pazeni, pazeni enyi wa ulimwengu Sifa zake bwan zifike kwa jirani hii ndiyo amani kwa wote duniani...
Â
Â
Â
Bwana Yesu kazaliwa
Bwana Yesu kazaliwa tuimbe aleluya x2 Bwana Yesu kazaliwa tuimbe aleluya x2 Amezaliwa (chah!) pangoni Bethlehemu (chah!) Ndiye Mwokozi...
Â
Â
Â
bottom of page


