Hongera Maria
- Anonymous
- Nov 11, 2023
- 1 min read
Hongera hongera mama Maria kwa kumzaa mwanao leo hii
Bwana Yesu lala lala mtoto Yesu lala lala
Ee mtoto Yesu siuzie mwanzo wa Mungu
Twende sote Bethlehemu tukiimba nyimbo za furaha
Amekuja kwa ajili yetu tufurahi Yesu kazaliwa

Comments