top of page
Share Lyrics and Download Hymns
Get access to all the Hymn categories available at the Hymn & Score Library in this category.
Hiki ni Chakula cha Mbingu
Hiki ni chakula cha mbingu (b: hakika), mkate safi wa wapendao (na pia), kweli ni uzima wa roho x2 1. Yesu shibisha roho yangu, Bwana...
Twendeni wote kwa Bwana (TB I 8-6)
Twendeni wote kwa Bwana, atualika karamuni, Tukale mkate wa mbingu. Yeye mwenyewe ni Mungu,Na pia ni mwanadamu, jamani. Yeye ni mkate...
Asante Yesu Katika Ekaristi
Asante Yesu kutulisha mwili wako, asante Yesu kutunywesha damu yako, Umetulisha kwa mwili, umetunywesha kwa damu, asante Yesu katika...
Hiki ni Chakula
Hiki ni chakula kilichoshuka kutoka mbinguni, asema Bwana x2 Alaye chakula hikiataishi milele Alaye Chakula hiki ataishi milele na milele...
Karamu ya Bwana Yesu
Karamu ya Bwana Yesu imekwisha andaliwa atualika Mwokozi twendeni tukampokee mwili na damu ya Yesu ni Ekaristi takatifu karibu Mwokozi...
Karamuni kwa Imani
Yumo humu, Mwokozi Yesu, Kwenye mzabibu, na ngano tamu Ni mpole ni mwema ni uzima Ekaristi ni jina lake, pamoja nasi, Mungu mwenyewe,...
Wanyono Piny
Kawachamo ringer Yesu, Miyo wanyono piny motegno, maotegno. Kawamadho remb ruoth Yesu, Miyo wanyono piny motegno maotegno x2 Wagueyo ura...
Twendeni Mezani
Twendeni mezani tukale chakula, tumeandaliwa chakula cha mbingu x2 Mwili wake Bwana chakula cha mbingu- tumeandaliwa chakula cha mbingu...
Nina Yesu Moyoni wangu
Nina Yesu moyoni mwangu, mimi nina Yesu moyoni mwangu; Nimeupata ukombozi nina uzima wa milele x2 Maisha yangu nakutolea, uzima wangu...
Pendo
Ni mazao ya mashamba nazo fedha za mifuko ni mkate na divai tunaleta kwako Baba x2 Nikikumbuka pendo lako ee Yesu wangu (kweli) machozi...
Yesu Mwema
Yesu mwema najitolea kwako Kwa leo hii na siku zote Nafsi yangu na moyo wangu wote Heri kweli, heri kweli Heri kweli raha ya uwingu x2...
Yesu Mkombozi
Yesu mkombozi mwana wa Maria, Tunakusalimu x2 Yesu mkombozi, chakula cha roho Yesu mkombozi, mchungaji wa watu Yesu mkombozi, umoja wa...
Twendeni Wote kwa Bwana
Twendeni wote kwa Bwana, atualika karamuni, tukale mkate wa mbingu. Yeye mwenyewe ni Mungu, Na pia ni mwanadamu, jamani. Yeye ni mkate...
Soul of my Savior Sanctify
Soul of my Savior sanctify my breast, body of Christ, be thou my saving guest, Blood of my Savior, bathe me in thy tide, wash me with...
No Not One
There’s not a friend like the Lord sweet Jesus, no not one, no not one, none else could heal all our soul’s diseases, no not one, no not...
Ninakupenda Ewe Mwokozi
Ninakupenda ewe Mwokozi wangu, rafiki yangu mpenzi wa moyo wangu, Ukae nami daima ndani yangu, nipate nguvu na heri siku zote. Nina...
Ngukinyukia o Kahora
Ngukinyukia o kahora, njerekeire o matuini no ninjui ningakinya (ngahuruke na Mwathani) x2 Ni wega Ngai mundongoria, nake Jesu ni mugate...
Lord Am Not Worthy
Lord am not worthy to receive you, but only say a word and I shall be healed x2 You are the bread from heaven -My Lord and my God. You...
Kuleni Mwili Wangu
Kuleni mwili wangu, kunyweni damu yangu mtaishi milele asema Bwana x2 Mimi ndimi chakula, chakula cha uwingu - asema Bwana Mimi ndiye...
Jesus my Lord
Jesus my Lord my God my All How can I love thee as I ought And how revere this wondrous gift So far surpassing hope or thought Sweet...
I Am the Bread of Life
I am the bread of life, he who comes to me shall not hunger, he who believes in me shall not thirst, no one comes to me unless the Father...
Bwana roho Zetu
Bwana roho zetu zatamani - hayo maji yenye uzima Bwana roho zetu zina kiu tupe maji hayo ya uzima Ee Bwana tuna kiu tunyweshe Tuna kiu ee...
Bahati Bahati
Hii ndiyo siri ya maisha mema, na tena utamu wa kumjua Yesu Bahati kaacha karamu kubwa (Bahati bahati nayo imwangukie nani Bahati bahati...
Nitajongea Meza Yako Bwana
Nitajongea meza yako Bwana, Yesu Mwana wa Mungu, unishibishe x2 Wewe ni mkate wa uwinguni, unishibishe Wewe ni maji ya uzima, niburudishe...
Yesu Mimi Nimekutamani
Yesu mimi nimekutamani, kuungana nawe Yesu wangu , nionje tena pendo lako, ili niwe na faraja tele x2, (ninaomba (ooh) ee Bwana wangu,...
Rafiki Yesu
Mimi nakuita yesu rafiki yangu mwema,Mwokozi wangu. Sikia sauti yangu rafiki yangu mwema niokoe. Uniponye magonjwa yote,(Bwana)yanayo...
Karibu Bwana Njoo
Bwana anakuja twendeni kumlaki, Bwana Mungu wa majeshi, ziwasheni nyoyo tukamkaribishe, huyu mwenye utukufu. Karibu Bwana njoo x2 Shinda...
Tutoeni Shukrani
Tutoeni shukrani zetu, kwake Mungu wetu matendo yake kwetu sisi, kweli ni ya ajabu x2 Asante Baba asante twashukuru Baba twashukuru ,...
Tumshukuru Bwana
Tumshukuru Bwana, Mungu wetu, kwa maana yeye ndiye mwema. Katika mashaka nimekaa / ameniokoa Bwana. Bwana ni msaidizi wangu / wala...
Tumepokea
1. Ee Kristo, ee Bwana na ututakase; twaomba ee Yesu utuokoe; na damu yake Yesu Kristu ituchangamshe Twaomba unyenyekevu – tumepokea x 2....
Tumeitwa Kushiriki
Tumeitwa kushiriki kwa karamu (ya Bwana) kupokea mwili na damu ya Yesu x2 Mwili na damu ya Yesu hutajirisha maisha yetu na kutupa uzima...
Tule Tunywe
Tule tunywe ni mwili wake (kweli) Karibuni nyote mezani, mwake tunywe. (tunywe, tule chakula hiki:ni chakula bora kwa uchaji, tule, tule...
Tujongee Mezani mwa Bwana
(Tujongee) mezani mwa Bwana leo ametualika, kwa chakula cha uzima ndugu dada twende tupate uzima. Alhamisi kuu alichukua mkate kaumega...
Twaeni Mle Wote
Twaeni mle wote – huu ndio mwili wangu, twaeni munywe wote – hii ndio damu yangu. (Fanyeni hivi, kwa kunikumbuka mimi x 2). 1. Yesu...
Twendeni kwa Karamu
1. (Karibuni kwa karamu) – Asema Yesu Mwana wake Mungu, (tubuni mjitakase), twendeni kwa karamu yake Bwana x 2 Twendeni – Twende kwa...
Twendeni kwa Karamu
Twendeni, kwa karamu ya Bwana, Tumeitwa Twendeni, twende kumpokea Ni mwaliko wa Bwana, Tukale mkate wa uzima x2 Tujitakase mbele ya...
Twende Mezani kwa Bwana
Twende mezani kwa Bwana tukale chakula, atualika Bwana sisi twende mezani pake tukale chakula x2 Twende mezani kwa Bwana, tukale chakula...
Twendeni Tukampokee
1. Twendeeni tukampokee, mwili wake Yesu Mwokozi, twendeeni tukanywe damu ye sawa hasa divai x2 Twendeni wote, kule mbinguni, pahali pa...
Ukarimu wa Bwana
1. Nani kati ya watawala wote wa wafalme wa dunia hii, aliye wahi kuandaa karamu akawaalika watu wote? Ni nani kama Bwana Yesu Mfalme wa...
Waamini wa Bwana
Waamini wa Bwana karibuni mezani (njoni) pake,Bwana awaalika enyi wenye moyo safi. X2 Amewaandalia (leo) karamu takatifu (njoni) mwili...
Yesu Mwokozi Wangu
Yesu Mwokozi wangu, karibu rohoni mwangu ninakukaribisha x2 Mwili wako Yesu chakula cha uzima, damu yako Yesu kinywaji cha uzima wewe ni...
Tujongee Mezani mwa Bwana
(Tujongee) mezani mwa Bwana leo ametualika, kwa chakula cha uzima ndugu dada twende tupate uzima. Alhamisi kuu alichukua mkate kaumega...
Tujongee Mezani
Tujongee mezani mwake Bwana, tukampokee Mwokozi wetu. (Akae daima pamoja nasi, atujaze neema rohoni mwetu. tupate uzima wa milele x 2.)...
Tazameni Meza ya Bwana
Tazameni meza ya Bwana (kweli) inapendeza (kama nini), Bwana Yesu ameandaa (leo)karamu kubwa (kweli kweli) Ni chakula chenye uzima...
Tazameni karamu ya Bwana
Tazameni karamu ya Bwana iko mezani (mbele). Ni karamu ya upatanisho na ya amani (kwetu) x2 (Haya ndugu simama (ndugu) Ewe (mkiristu)...
bottom of page

