Karamuni kwa Imani
- Benard Mukasa
- Dec 21, 2023
- 1 min read
Updated: Dec 23, 2023
Yumo humu, Mwokozi Yesu, Kwenye mzabibu, na ngano tamu Ni mpole ni mwema ni uzima
Ekaristi ni jina lake, pamoja nasi, Mungu mwenyewe, ndani yetu nasi ndani yake
Alitoa, jioni ile, kwa kumbukumbu, yake milele, tule tunywe wote tuokoke.
Tugeuze, maisha yetu yafanane, na meza hii huruma, upendo msamaha

Comments