top of page

Share Lyrics and Download Hymns
Get access to all the Hymn categories available at the Hymn & Score Library in this category.
Ametamalaki
Ametamalaki, ametamalaki Bwana ametamalaki, mbinguni ni yeye, ametamalaki Bwana ametamalaki, duniani ni yeye, ametamalaki Bwana...
Nitume Mimi Nitaenda
Bwana asema nimtume nani, nani aende badala yako, Nitume mimi nitaenda, badala yako nikahubiri Nitapanda milimani, nipeleke neno lako...
Naam Bwana
Arranged By: Victor Mwadime Naam Bwana wa mavuno, naam Bwana wa mavumo, naitikia wito wako x2 Mavuno ni mengi oh!, lakini wavunaji ni...
I Rejoiced
I rejoiced when I heard them say: Let us go to the house of the Lord x2 I rejoiced when I heard them say: Let us go the God’s house and...
There is Something Today
There is something today in the house of the Lord x3 Alleluia today in the house of the Lord There is power today… There is dancing today...
Tufurahi
(Watu wote) wanameremeta tazama, (Wamevaa) mavazi mazuri oneni, (Nyuso zao) tabasamu shangwe nderemo na vifijo x2 Tufurahi - Mungu wetu...
Into Your Sanctuary
Into Your Sanctuary, we’ve come to adore You Lord x2 In adoration and praise we glorify your holy name into your sanctuary we’ve to adore...
You are so Faithful
That’s why I praise you in the morning that’s why I praise in the noon time. That’s why I praise you in the evening, that’s why I praise...
This is the Day
This is the day x2 that the Lord has made x2 We will rejoice x2 and be glad in it x2 Oh! this is the day that the Lord has made, we will...
Njooni Tuingie
Njooni wote tuingie nyumbani mwa Bwana, njoni wote tumwabudu na tumsifu Mungu x2 Twende watu wote twendeni nyumbani mwa Bwana (Mungu)...
Nyumbani mwa Bwana
Nalifurahi nalifurahi waliponiambia waliponiambia na twende nyumbani mwa Bwana x2 Na twende nyumbani na twende mwa Bwana x2 waliponiambia...
Waimbaji wa Mungu
Mwimbieni Bwana wimbo ule mpya maana ametenda mambo ya ajabu.Paazeni sauti imbeni saburi tangazeni sifa zake Mungu wetu x2 Waimbaji wa...
Twimbie Mungu
Twimbie Mungu uu Alleluia Twimbie Mungu Hossana Twakushukuru Twakuheshimu - Twakuabudu na kukutukuza - Twakushukuru Mwenye utukufu -...
Twendeni Wote
Twendeni wote x2, tumwabudu Bwana (kwa furaha), twendeni wote x2 tumwabudu Bwana 1. Bwana ni mtawala, amevaa utukufu- 2. Mbingu zifurahi,...
Tuingie Nyumbani mwa Bwana
Tuingie nyumbani mwa Bwana kwa furaha tumwabudu Bwana x2 Tuingie-tuingie, tuingie-tuingie, tuingie tuingie kwa Bwana x2 Bwana Yesu...
Tusimbe Ffenna
Tusimbe ffenna mu kisinde Kya Mukama waffe Yezu Tulimulaba muggulu lye Wamu na batukilivu Twendeni sote kwake Baba Pamoja na Yesu Kristo...
Tunyunyizie MajI
Tunyunyizie maji, ee Bwana ututakase dhambi zetu Nami nitawapa ninyi, moyo mpya Nami nitatoa, moyo wenu wa jiwe Nami nitawapa, moyo wa...
Tumeingia
(Tumeingia) x2 Nyumbani mwa Bwana-aa Tushangilie tumwabudu x2 1. Kwa nyoyo safi nazo tumwende ee - Tushangilie tumwabudu 2. Ni shangwe...
Walk in the Light
The Spirit comes to set us freewalk walk in the light He binds us all in unity Walk in the light x4 Walk in the light of the Lord Jesus...
Sikiliza ni Mpendwa Wangu
Sikiliza ni mpendwa wangu, ni mpendwa wangu tazama anakuja. x2 Akirukaruka milimani, akichacharika vilimani, mpendwa wangu ni kama paa,...
Simameni Watu Wote
Simameni watu wote leo katika nyumba ya Bwana (wote) furahini mbele zake Bwana imbeni nyimbo za shangwe (shangilieni) vigelegele pigeni...
Shine Jesus Shine
Shine, Jesus, shine, fill this land with the Father’s glory. Blaze Spirit blaze, set our hearts on fire, flow river flow, flood the...
Praise to the Lord
Praise to the Lord the Almighty the king of creation. O my soul praise him for he is your health and salvation. All you who hear, now to...
Ndimi Mtumishi Wako
Ndimi mtumishi wako, nitafuraha kwako Bwana (mimi) Ndimi mtumishi wako, nitafuraha kwako Bwana (ndimi) 1. Nitajonjegea altare ya Mungu....
Njoni Tumwimbie
Njoni, tumwimbie na kumshangilia, njoni, tumwabudu Bwana.x2 1. Njoni tumjongee njoni kwa masifu -Njoni, tumwabudu Bwana 2. Tumfanyie...
Nitakuimbia Mungu Wangu
Nitakuimbia Mungu wangu kweli asubuhi (Asubuhi mchana usiku nitakuimbia Mungu wangu kwa shangwe. Vinanda ngoma nitavipiga vigelegele...
Come to the Banquet
Come to the banquet there’s a place for you, Though you maybe have no money, though you maybe feel unworthy In your strength or in your...
I Come to you Lord
I come to you Lord (my God), In this Holy house to praise and honour to praise and honour (you Lord), and thank you my God is all I can...
I will Enter His Gate
I will enter His gate with thanksgiving in my heart, I will enter His court with praise, I will say this is the day that the Lord has...
I have Decided
I have decided to follow Jesus x3 No turning back x2 The cross before me, the world behind me x3 Though none go with me, still I will...
Enter Rejoice
Enter rejoice and come in (x2) Today will be a joyful day. Enter rejoice and come in Sing alleluia……… Lift up your hearts to the Lord...
Bwana Ametamalaki
Bwana ametamalaki x2. Dunia ishangilie, kwa furaha na vigelegele x2 Na mwanga wake umeangaza ulimwenguni (ukatetema) – Bwana Na watu wote...
Nyumbani Mwake Bwana
Njoni tumsujudu yeye aliyetuumba Yeye anatawala kwa haki na uamini x2 Yeye ni Mungu mwenye utukufu wa ajabu Yeye ni Mungu mwenye radhi...
Msifuni Mungu wenu
Msifuni Mungu wenu enyi viumbe vyake; Pazeni sauti zenu, imbeni kwa furaha Leteni ngoma, leteni kinanda, leteni zeze, Na midomo ifunguke...
Naja kwako Bwana
Naja kwako Bwana unipokee mtumishi wako x2 kuijongea altare yako ee Bwana, unipokee. (kati ya milango yako, Bwana napita, niweke mkono...
Amkeni Kyenzenzelu
Amkeni watu wa mataifa yote chenzenzelu tumsifu Mungu wetu mwenye uwezo chenzenzelu Kwa maana Bwana Mungu ametenda mambo makuu ya ajabu...
Wewe Bwana
Wewe Bwana, Wewe Bwana Wewe Bwana nifadhili x2 1. Wewe ni Mungu wangu / Unionee huruma. 2. Wewe, Ee Bwana, u mwema / u...
Uninyunyizie Maji
Uninyunyizie maji Bwana nitakase (Bwana)x2 Ee Bwana wangu ,Bwana wangu, nijalie uzima mpya kwa maji haya nitakase. 1. Maji ya...
Uninyinyuzie Maji
Ee Bwana unioshe nitakate x 2 1. Uninyinyuzie maji - kwa mrashi 2. Niwe mweupe kuliko - theluji 3. Kwani wemao hauna - mipaka 4....
U Msaidizi Wakati Wa Raha
U msaidizi wakati wa raha, u msaidizi wakati wa shida x 2. 1. Ee Bwana / toka vilindini / nimekulilia / Bwana / usikie / sauti yangu. 2....
Twingile
Melody/ Bemba- Zambia 1.Sop/Ichongo shonse (TB/Natwingile) Shishale panse iyelelo twingile he he, iyelelo munganda mwatata,x2...
Twendeni Wote
Twendeni wote, twendeni wote, tumwabudu Bwana ( kwa furaha) x2 Bwana ni mtawala, amevaa utukufu - Mbingu zifurahi, dunia ishangilie –...
Twendeni Kwake Mungu
Twendeni kwake Mungu (Twendenikwa Mungu), kwa shangwe na ndereme (Shangwena nderemo); Kwa kinanda na nyimbo tukamwabudu, na kayamba na...
Twendeni Kwa Bwana
Twendeni kwa Bwana x 2. kwa vigelegele Twendeni kwa Bwana kwa shangwe na vigelegele x 2. Bwana atuita kwa nyunba ya sala. Bwana ni...
Twimbe Kwa Shangwe
Twimbe kwa shangwe na furaha x2 Tuimbe masifu yake Mungu Baba yetu. 1. Mungu wa amani na mapendo, mwenye utukufu wa ajabu , Mungu...
bottom of page


