top of page

Nyumbani mwa Bwana

Updated: Dec 19, 2023


Nalifurahi nalifurahi waliponiambia waliponiambia na twende nyumbani mwa Bwana x2 Na twende nyumbani na twende mwa Bwana x2 waliponiambia na twende nyumbani mwa Bwana x2

  1. Miguu yetu imesimama ndani ya malango yako Ee Yerusalem, uliyejengwa kama mji ulioshikamana

  2. Huko ndiko waliko panda kabila za Bwana ushuhuda kwa Israeli walishukuru jina la Bwana

  3. Nalifurahi waliponiambia aeee twende nyumbani mwa Bwana aeee mwa Bwana twende nyumbani mwa Bwana aeee twende nyumbani mwa Bwana

  4. Miguu yetu imesimama malangoni pako twende nyumbani mwa Bwana aeee mwa Bwana twende nyumbani mwa Bwana aeee twende nyumbani mwa Bwana.

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page