top of page

Share Lyrics and Download Hymns
Get access to all the Hymn categories available at the Hymn & Score Library in this category.
Mtakatifu Monica
Ee mama mtakatifu Monica ewe mlinzi wetu (wanao) Wewe ndiwe mwangaza wetu ewe malkia. Sisi wote twakusalimu (ee mama) Na kukupa zote...
Â
Â
Â
Mpenzi wa Yesu
Mpenzi wa Yesu tusaidie, Mama Theresia tusimamie x2 Ewe Theresia Mtakatifu Twakujia wewe mwaminifu Jionyeshe kwetu sisi wanao Tusaidie...
Â
Â
Â
Mtakatifu Cecilia
Katika karne ya tatu kule Italia Italia kule Roma, kulikuwa na mfadhili Cecilia *2 Cecilia Mtunzi wa nyimbo zetu Cecilia Cecilia Cecilia...
Â
Â
Â
Atukuzwe Mungu
Atukuzwe Mungu atukuzwe Mungu - Atukuzwe Mungu atukuzwe Litukuzwe Jina lake Takatifu - Atukuzwe Mungu atukuzwe Atukuzwe Yesu Kristu Mungu...
Â
Â
Â
Mashujaa wa Imani
Hawa ndio wale ambao walipoishi x2 Kweli walipanda kanisa kwa damu yao x4 Walikunywa kikombe cha Bwana wakawa marafiki wa Mungu Mbingu...
Â
Â
Â
Palikuwa na Kijana Mmoja
Palikuwa na kijana mmoja jina lake Samweli, Alikuwa akimcha Mungu tangu utoto wake Alisikia sauti Ikimwita, Samweli, Samweli x2 Alikuwa...
Â
Â
Â
Mtakatifu Paulo
Mtakatifu Paulo, mtume somo wetu msimamizi wa kwaya yetu utuombee x2 Kwa kufuata mfano wako, tueneze injili bila ubanguzi Tuombee mtume...
Â
Â
Â
Kushiriki Mateso
Kushiriki mateso ya Kristo , ndiyo ilikuwa hamu yake Fransisko , alivumilia hayo yote, akiimarishwa na Bwana Yesu Kristo (kwa shangwe )...
Â
Â
Â
Mtakatifu Cecilia
Mtakatifu Cecilia utuombee, wewe ndiwe mwombezi wetu wa kwaya yetu Siku ya leo twafurahia twakuimbia kwa furaha ee Cecilia x2 Tuonyeshe...
Â
Â
Â
Mtakatifu Yosefu
Mtakatifu Yosefu Baba wa familia (mpole), Mtakatifu Yosefu mnyenyekevu mkarimu, mvumilifu. Mtakatifu Yosefu mlinzi na mlishi wake Yesu...
Â
Â
Â
Yosefu Tunakutolea
1. Yosefu tunakutolea sifa na heshima, wana wako elekea uwe kwetu mjima Ewe mlinzi mwaminifu, tunaomba kwako, (Mlinde Baba Mtakatifu na...
Â
Â
Â
Yesu Lilinde Kanisa
Yosefu Mtakatifu, lilinde kanisa letu takatifu, liombee lisiangamie kwa dhambi zetu x2 (Simamia (pia) pigania Baba mlinzi wetu mwema,...
Â
Â
Â
Mt. Yosefu
Mchungaji hodari mpole na mnyenyekevu, mwaminifu mtiifu kwa ahadi zake Mungu kweli Uliye kinga yetu na mwamba wetu imara, tuombee tupate...
Â
Â
Â
Mt. Agostino
Sauti tamu zasikika hewani (sauti) nzuri tena za kupendeza ni zetu sisi waimbaji wana Agostino, tunajituma kwa nguvu na akili (kabisa)...
Â
Â
Â
Watakatifu wa Mbinguni
Watakatifu wa Mbinguni waimba nyimbo za shangwe Na malaika wake Mungu wanarukaruka kwa shangwe Natamani kwenda mbinguni, nikaimbe nyimbo...
Â
Â
Â
Kisha Nikaona
Kisha nikaona mbingu mpya na nchi mpya, Kisha nikaona mbingu mpya na nchi mpya (Nikauona mji (mji ule), ule mtakatifu Jerusalem mpya...
Â
Â
Â
bottom of page

