top of page

Yosefu Tunakutolea

1. Yosefu tunakutolea sifa na heshima, wana wako elekea uwe kwetu mjima

Ewe mlinzi mwaminifu, tunaomba kwako, (Mlinde Baba Mtakatifu na kanisa lako x2

2. Yesu amekuteua, kuwa mlinzi wake, heri gani unajua, kwita baba yake.

3. Ukamtuma na Maria Mama wa Mwenyezi, kwako tunakimbilia baba wa Mwombezi.

4. Roho tunapozimia, Yosefu karibia, saa ile saidia, kwake tufikie.

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page