top of page

Ona Mnavyopendeza
Ona mnavyopendeza, ona mnavyometameta x2 Wapenzi wana harusi mwende mkaishi salama x 2 Kwenye maisha ya ndoa, kuna raha pia tabu, mkiishi...
Â
Â
Â
Nitukenere Muhiki
Nitukenere muhiki na tukenere muhikania Aaaa iii haiya ciana citu riu nimwatuika muthuri na mutumia wake Rubaru nirwaunikire na rugikirwo...
Â
Â
Â
Nasikia Kelele na Vigelegele
Nasikia kelele na vigelegele nauliza kwani kuna nini (leo). Nawaona walio na mavazi mazuri wanavyotembea kwa mariongo tele (leo). Ni...
Â
Â
Â
Ngemi Ciumaga Naku
(Ngemi ciumaga naku ii, ngemi ciumaga na mucii, wega umaga na mucii) x2 Mucii niguo gitugi ii- namaa, Giaguaka kanitha - uiyaa Na...
Â
Â
Â
Mungu Baba
Mungu Baba mwenye mema yote harusi ya wenzetu ubariki. Mbele zako wawe watu wema, wenyewe wajipende kwa vitendo. (Wenyewe wajipende kwa...
Â
Â
Â
Mke Wako Atakuwa
Mke wako atakuwa kama mti wa mzabibu, (wenye kuzaa matunda ndani ya nyumba yako) x2 Mke wako atakuwa kama mzabibu, wenye kuzaa matunda...
Â
Â
Â
Pingu za Maisha
Pingu za maisha leo mmeshazifunga x2 Sasa ilobaki, ndoa yenu kuitunza x2 Muitunze ndoa yenu isijevunjika, ndoa yenu isijevunjika Muitunze...
Â
Â
Â
Ondoka Ewe Bwana Harusi
Ondoka ewe bwana harusi, tembea wakuone, Ondika ewe bibi harusi, tembea kwa maringo, Njoo kwangu nikueleze, neno moja toka moyoni mwangu....
Â
Â
Â
Pambo La Moyo
Nimezunguka sana dunia hii, kulitafuta pambo hili pambo la moyo wangu nimelipata, nimempata mke mwema Iye lele iye lele vigelegele,...
Â
Â
Â
Nitukenere Muhiki
1. Nitukenere muhiki, na tukenere muhikania Aaii, ii, (haya), Ciana ciitu riu nimwatukia, muthuuri na mutumia wake. 2. Rubaru...
Â
Â
Â
Ni Harusi Leo
1a. Nasikia kelele na vigelegele nauliza kweli kuna nini (leo) b. Nawaona walio na mavazi mazuri wanavyotembea kwa maringo (leo) Ni...
Â
Â
Â
Natazama Mawinguni
1. Natazama mawinguni, nyota kweli zanawiri, na baraka zake Mungu zinatiririka x2 Sop: Harusi All: Tushangilieni Sop: ...
Â
Â
Â
Mke Mwema
Mke mwema mke mke ni nani awezae kumuona kimo chake kimo chapita kimo cha marichani (moyo wa mumewe) unamwamini wala hatakosa )-kupata...
Â
Â
Â
Maharusi Wanavyopendeza
Ona jinsi (jinsi) wanavyopendeza maharusi wapendeza sana wanaingia hekaluni mwa bwana kufunga ndoa yao x2 Karibuni maharusi(kwa...
Â
Â
Â
Imbeni shangilieni
Harusi leo, harusi tuliyoingojea imefika, kwa vile wawili wameungana pamoja na kuwa mwili mmoja. Imbeni shangilieni harusi ni siku ya...
Â
Â
Â
I love you
Siku tuilioingojea mimi na wewe, kwa uwezo wake Mungu leo imefika, popote uendapo tutakuwa pamoja, Kwa maombezi yake Mama yetu Maria,...
Â
Â
Â
Heri yenu Mungu Amewaunganisha
Heri yenu Mungu amewaunganisha, msitengane, mkavunja hili agano) x2 Aliumba wazazi wetu kale, paradisini waitawale. Aliumba Adamu babu...
Â
Â
Â
Ee Mpendwa wa Nafsi Yangu
Ee mpendwa wa nafsi yangu, usimame nawe ujipambe, mavazi yako mazuri (kisha) twende hekaluni nikathibitishe kwamba mimi nakupenda Duniani...
Â
Â
Â
Anameremeta
a.Ewe fulani mtazame fulani siku ya leo jinsi alivyopendeza. b.Nawe fulani mtazame fulani siku ya leo jinsi alivyopendeza....
Â
Â
Â
Mpendaneni Daima
Mungu akaona si vyema mtu huyu awe peke yake Nitamfanyia mwenzake yule wanafanana naye Akaumba mwanamke, kamleta kwake mwanamume waishi...
Â
Â
Â
Heri Mume Yule
Heri mume Yule, aliye na mke mwema x2. Siku za maisha yake, siku za maisha yake zitaongezwa tena maradufu x2 Mke hodari humfurahisha...
Â
Â
Â
Maneno Matamu
Umekuwa jasiri, jasiri jasiri sana Tena hubabaishi, jasiri jasiri sana x2 Ulijipanga vema ukamfata dada yetu, tena bila aibu ukampa hayo...
Â
Â
Â
Wangu wa Maisha
Ondoka ewe Bwana harusi, tembea wakuone, Ondoka ewe bibi harusi, tembea kwa maringo Njoo kwangu nikueleze, neno moja toka moyoni mwangu...
Â
Â
Â
Harusi Kidededede
Bwana harusi na bibi harusi, leo mmefunga ndoa ya maisha, Kaeni kwa amani kidededede) x2 Jitulize mjisikie sukari, siku ya leo ni yenu,...
Â
Â
Â
Wanameremeta
Leo ndiyo leo, leo shangwe leo, leo ndiyo leo, leo tufurahi woteTumwimbie Bwana leo, leo shangwe leo, leo ndiyo leo, leo tufurahi wote...
Â
Â
Â
Bwana Awabariki
Bwana awabariki, Bwana awabariki Bwana awabariki milele Ukimcha Mungu - Bwana awabariki Na kutembea - Bwana awabariki Pamoja naye - Bwana...
Â
Â
Â
bottom of page

