top of page

Bwana Awabariki


Bwana awabariki, Bwana awabariki Bwana awabariki milele

  1. Ukimcha Mungu - Bwana awabariki Na kutembea - Bwana awabariki Pamoja naye - Bwana awabariki Heri ni yako -Bwana awabariki

  2. Na mke wako -Bwana awabariki Atastawi -Bwana awabariki Kama mzabibu -Bwana awabariki Wenye matunda -Bwana awabariki

  3. Watoto wako -Bwana awabariki Watafanana -Bwana awabariki Na machipuko -Bwana awabariki Ya mzeituni -Bwana awabariki

  4. Ubarikiwe -Bwana awabariki Kutoka Saioni -Bwana awabariki Maishani mwetu -Bwana awabariki Amani kwako -Bwana awabariki

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page