top of page
Tufurahi Sote Katika Bwana
Tufurahi sote katika Bwana, tunapoadhimisha siku kuu, kwa heshima ya watakatifu wote. x2 Malaika nao wanashangilia sikukuu hii na...
Â
Â
Â
Bwana Alipokwisha Kubatizwa
Bwana alipokwisha kubatizwa, mbingu zikamfunukia, Roho akashuka, kwa mfano wa hua na kukaa juu yake x2 Na tazama sauti ya Baba ikanena,...
Â
Â
Â
Siku Ulipobatizwa
Siku ulipobatizwa ndugu yangu, ulimkana shetani (shetani) na mabaya yake yote Uliikiri imani takatifu, utamtukuza mungu (Mwenyezi) na...
Â
Â
Â
Kipeperushe Kitambaa Chako
Jiangalie jinsi unavyoenenda, ujiulize kama hivyo ni sawa Ndugu rejea ahadi yako kumkataa Ibilisi muovu Dhamira yako inakuambia nini,...
Â
Â
Â
Tumekuwa Mashujaa
Tumekuwa mashujaa wa Bwana Yesu x2 Tumekuwa mashujaa wa Bwana Yesu x2 Roho wa Mungu awe nasi siku zote atujalie paji hekima Roho wa Mungu...
Â
Â
Â
Mwana Wangu
Huyu ndiye Mwana wangu, ninampenda Mwana wangu, msikizeni Bwana ametamalaki dunia ishangilie, visiwa na vifurahi nchi yote. Watu wote...
Â
Â
Â
Siku ya Ubatizo Wangu
Siku ya ubatizo wangu, nilimuahidi Mungu, nitamfuata Yesu Kristu, ndiye uzima kweli dini ya kweli neema kuu nitaishika hio tu, milele...
Â
Â
Â
Kiapo cha Ubatizo wangu
Kiapo cha Ubatizo wangu, kutoa si mimi ni wao; Ni mzima nayo akili yangu, ninaapa mwenyewe leo. Ninaapa.. Ninaapa, ninaapa mwenyewe leo...
Â
Â
Â
Heri Yangu ni Kubwa Mno
Heri yangu ni kubwa mno, kwani nimebatizwa. Mungu Mwenyezi mtukufu, kanifanya mwanae. Aliyeniumba kwake, nitamwita Babangu, Kuliko vyote...
Â
Â
Â
Bwana Alipokwisha Kubatizwa
Bwana alipokwisha kubatizwa, Mbingu zilimfunikia. Na Roho akamshukia, kama hua na kukaa juu yake 1.Tazama sauti yake Baba ikasema, 'Huyu...
Â
Â
Â
Bwana Alipokwisha Kubatizwa
Bwana alipokwisha kubatizwa x2, mbingu zika mfunukia na roho akashuka, kwa mfano wa hua na kukaa juu yake. ( juu yake). Natazama sauti ya...
Â
Â
Â
bottom of page

