Tufurahi Sote Katika Bwana
- Anonymous
- Nov 18, 2023
- 1 min read
Tufurahi sote katika Bwana,
tunapoadhimisha siku kuu,
kwa heshima ya watakatifu wote. x2
Malaika nao wanashangilia sikukuu hii
na kumhimidi Mwana wa Mungu
Baraka na utukufu na hekima na
shukrani na heshima na uweza

Comments