top of page
Share Lyrics and Download Hymns
Get access to all the Hymn categories available at the Hymn & Score Library in this category.
Tumwabudu Yesu Katika Msalaba
Tumwabudu Yesu katika msalaba, Tupige magoti kwa heshima na toba Twende tunyenyekee mbele ya msalaba Tumwabudu mwana wake Baba yeye aliye...
Â
Â
Â
Ingawa Hakutenda Jeuri
Ingawa hakutenda jeuri kinywani mwake hapakuwa na hila, lakini Bwana aliridhika kumchukua amemhuzunisha x2 Kama mzizi katika nchi kavu,...
Â
Â
Â
Baba Yangu Ikiwa Haiwezekani
Baba yangu ikiwa haiwezekani x2 Kikombe hiki Baba kiniepuke (nisipokunywa Baba mapenzi yako Baba yatimizwe) x2 Nimekukimbilia...
Â
Â
Â
Kabila Langu
Kabila langu nimekutendea nini? au nimekusikitisha nini nijibu, nijibu Ee kabila langu Ilinipasa kukutendea nini zaidi nisikutendee...
Â
Â
Â
Msalabani Yesu Alilia
Msalabani Yesu alilia Mungu wangu mbona waniacha x2 Makuhani walifurahi Bwana Yesu alipokufa Watu wengi walisema Maneno mengi yasiyofaa...
Â
Â
Â
The Way of the Cross
OPENING PRAYER Mary, my Mother, you were the first to live the way of the cross. You felt every pain and every humiliation. You were...
Â
Â
Â
Tumwangalie Mkombozi
Tumwangalie Mkombozi, akitundikwa msabani, tutataambua upenzi, aliotupenda moyoni. Twimbe twimbe jamani: Salaam Yesu msalabani x2...
Â
Â
Â
Utukufu wa Msalaba
Kwa ishara ya msalaba tuokoe x2 1. Utukukfu wa msalaba twaadhimu, wa msalaba wake Yesu, ulio uzima na fahari yetu, 2. Utukufu wa msalaba...
Â
Â
Â
Njia ya Msalaba
Tufwate njia ya msalaba, tuifwate mpaka kalvario, tusimamepo bila haya. (msalaba) msalaba uponya roho x2 1. Umekosa nini we Yesu,...
Â
Â
Â
Nchi Inazizima
Yuda akarudi, chukua fedha zenu huyu ni mwema,Pilato akakiri, hana kosa lakini kamuueni, kainuliwa mtupu kajeruhiwa sana, amekata roho,...
Â
Â
Â
Mama Pale Msalabani
Mama pale msalabani, macho yatoka machozi, akimwona Mwanaex2 Kweli vile akilia, uchungu kama upanga,ukampenya moyowe x2 Mwenye moyo mgumu...
Â
Â
Â
Kwenye Mlima wa Mizeituni
Kwenye mlima wa mizeituni, Yesu aliona huzuni, jasho nyingi, ilimtoka Bwana, kama matone ya damu. Kajitupa chini akasali, akasema kwa...
Â
Â
Â
Kuteswa Kwake Bwana
1.Kuteswa kwake Bwana, kulinipa wakovu, siachi kumwimbia pote niendapo x 2 Aliyeniokoa– ni Yesu; aliyevumilia –mateso aliyemwaga damu –...
Â
Â
Â
Kristu Ametii kwa Ajili Yetu
Kristu ametii kwa ajili yetu hata kufa, kufa msalabani 1. Muwe na msimamo ule ule / aliokuwa nao Kristu Yesu. 2. Yeye kwa asili / alikuwa...
Â
Â
Â
Kilio Cha Yesu
1. Yesu alilia eloi, kwa uchungu mwingi sana, pale msalabani eloi eloi, walimtesa sana Yesu. Twahuzunika, twafedheheka, twagadhabika...
Â
Â
Â
Maneno saba ya Msalabani
Natumwimbie, Mwana Kondoo msalabani, na tumwimbie kwani aishi milele x 2 Maneno saba ya msalabani, inafaa sana tuyafuate, Mwokozi...
Â
Â
Â
Mikononi Mwako
Ee Bwana mikononi mwako naiweka roho yangu x 2 1. Nimekukimbilia wewe Bwana (nisiabike milele) 2. Mikononi mwako naiweka roho yangu...
Â
Â
Â
Msalabani
Msalabani (msalabani) Yesu alilia Mungu wangu (Mungu wangu) mbona waniacha x2 1. Makuhani walifurahi Bwana Yesu alipokufa, watu...
Â
Â
Â
Nakujia ni Mwenye Dhambi
1. Nakujia ni mwenye dhambi, nipokee kwa pendo lako x2 Yesu- nimechoka nazo dhambi (Bwana) 2.Ulikufa msalabani, ukateswa na wayahudi x2...
Â
Â
Â
Kabila Langu
Kabila langu nimekutendea nini (mimi) x2 Nimetenda nini nijibu x2 Nilikupanda kama shamba la mzabibu na wewe umekuwa mchungu sana....
Â
Â
Â
Juu ya Mlima Kalvari
1.Juu ya mlima kalvari ,Mwokozi alisulubiwa kwa ajili ya dhambi zetu yesu alihukumiwa (aa)x2 (Mwokozi wangu wa rehema unikumbuke nami...
Â
Â
Â
Ewe Yesu Mkombozi
Ewe Yesu Mkombozi………Utuhurumie. Mungu wetu ndugu yetu. Yesu, Yesu, Kwa mateso yako mengi, utuondolee dhambi. Yesu, Yesu, wastahili...
Â
Â
Â
Binadamu Inama Kichwa
Binadamu, inama kichwa, umwabudie Mungu mhuu, (hapo yupo ajapofichwa, ameskuka chini kwetu) x2 Kwa macho yetu hatuoni ila maumbo ya...
Â
Â
Â
Baba yangu, Baba yangu
Baba yangu, Baba yangu, kikombe cha mateso nisinywe ukitaka,ukitaka. Ninatoka jasho – Baba yangu, Baba yangu Bustanini hapa – Baba yangu,...
Â
Â
Â
Baba Mikononi Mwako
Baba mikononi mwako, naiweka roho yangu. 1. Baba, uwasamehe, kwani hawajui wanalofanya. 2. Nakuambia kwa hakika, leo utakuwa pamoja nami...
Â
Â
Â
Baba Mikononi Mwako
Baba, mikononi mwako naiweka roho yangu x2. 1. Nimekukimbilia wewe, Bwana.nisiabike milele.. 2. Kwa haki yako uniponye.Ee...
Â
Â
Â
Asiregee Moyowe
Asiregee e moyowe, asitoke machozi, akimkumbuka Munguwe kwa yake makombozi, mtoa roho msalabani, mtaka kufa mwenyewe, kwa sababu...
Â
Â
Â
Nimelemewa na Hatia Zangu
1. Nimelemewa na hatia zangu, nakutamani kufika mbinguni, Ingawa mwenye dhambi haingii, iko sauti yaniita nije. (Naja) Naja kwako Yesu...
Â
Â
Â
Msalabani Alipotundikwa
Yesu msalabani, alipotundikwa Hakuwa na dhambi, mkombozi wetu x2 Dhambi zetu nyingi sana, ndizo zilimtesa Hakuwa na kosa, mkombozi wetu...
Â
Â
Â
Mateso Yako Ee Yesu
Mateso yako ee Yesu, yametokana na dhambi Yametokana na dhambi sisi, sisi wanadamu x2 Umebeba msalaba, kwa ajili yetu wanadamu Kuzitoa...
Â
Â
Â
Mungu Wangu Mbona Umeniacha
Mungu wangu mbona umeniacha mimi Katika taabu zote hizi Maisha yangu ni ya mashaka Kwani sina raha nimekosa amani Matatizo mengi...
Â
Â
Â
Wakupeleka Hukumuni
Wakupeleka hukumuni Yesu, ili uamuliwe na mtu Tendo gani umefanya Yesu, hata wakutaka sulibiwe Ulikuja kwangu, mi mdhambi Ili uniokoe...
Â
Â
Â
Njia ya Msalaba
Tuifuate Njia ya Msalaba, tuifuate mpaka Kalvari Tusimamapo bila haya, msalaba msalaba huponya roho Umekosa Nini we Yesu, kushtakiwa bure...
Â
Â
Â
Nchi Inazizima
Yuda akarudi, chukua fedha zenu huyu ni mwema, Pilato akakiri hana kosa lakini kamuueni, Kainuliwa mtupu na kajeruhiwa sana, Amekata...
Â
Â
Â
Mungu Wangu Mbona Umeniacha
Mungu wangu, Mungu wangu mbona umeniacha Wote wanionao huncheka sana, Hunifyonya watikisa vichwa vyao husema hutegemea Bwana na amponye,...
Â
Â
Â
Kuteswa kwake Bwana
Kuteswa kwake Bwana kulinipa wokovu Siachi kumwimbia pote niendapo *2 Aliyeniokoa ni Yesu Aliyevumilia mateso Aliyemwaga damu mtini,...
Â
Â
Â
Kabila Langu
Kabila langu nimekukosea nini? au nimekusikitisha nini? nijibu. 1. Kwa kuwa nimekutoa katika nchi ya Misri, umemtayarishia Mkombozi wako...
Â
Â
Â
Yesu Akalia
Yesu akalia kwa sauti kubwa, (Akasema), Baba, mikononi mwako naiweka roho yangu) x2 Alipokwisha kusema hayo, akakata roho Yule akida...
Â
Â
Â
Umekosa Nini
Tuifuate Njia ya Msalaba, tuifuate mpaka Kalvari Tusimamapo bila haya, (msalaba *2) huponya roho Umekosa Nini we Yesu, kushtakiwa bure...
Â
Â
Â
Pasipo Makosa
Pasipo makosa Mkombozi wetu, Katika baraza la wakosefu Na wote walia asulibiwe, Aachwe Baraba na Yesu afe Aachwe Baraba na Yesu afe Ee...
Â
Â
Â
Nakuja ni Mwenye Dhambi
Nakujia mi mwenye dhambi nipokee kwa pendo lako *2 Yesu, nimechoka nazo dhambi Bwana, Bwana Yesu nipokee Ulikufa msalabani ukateswa na...
Â
Â
Â
Yesu Alia Msalabani
Yesu alia msalabani. Asikitika juu ya dhambi zetu Asulubiowa asiyekosa kwamba yeye ni mosaji Ee mwanadamu lipi ambalo linalonipasa...
Â
Â
Â
bottom of page

