top of page

Kabila Langu

Kabila langu nimekutendea nini (mimi) x2 Nimetenda nini nijibu x2

  1. Nilikupanda kama shamba la mzabibu na wewe umekuwa mchungu sana.

  2. Nilikutoa utumwani mwa farao, wanitoa kwake kuhani mkuu.

  3. Nilifunga bahari na ukapita, wanifunua mbavu kwa mkuki.

  4. Nilikupa maji kutoka kwa mwamba, nawe wanipa siki msalabani.

  5. Nilikupa wewe uwezo mwingi sana, nawe wanitundika msalabani.

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page