top of page

Share Lyrics and Download Hymns
Get access to all the Hymn categories available at the Hymn & Score Library in this category.
Yawa Uling'aling'a
Umadho kong'o umadho ndawa, umadho njaga Injili kalo Yawa uling'aling'a uparang'o Injili kalo x2 Kendo - uling'aling'a uparang'o Injili...
Injili Iende Mbele
Iende mbele-injili iende mbele, 'njili ya Yesu injili-iende mbele x2 Wakristu wote tusimame-tutangaze, Injili yake Bwana wetu-iende mbele...
Injili yake Bwana
Injili iende mbele, aah, aah, aah, injili iende mbele, ni neno la wokovu, aah, aah, aah Injili yake Bwana, ni neno lake Mungu, injili...
Tumejitolea
Waenezaji wa injili tumejitolea (kwa kweli) kutangaza neno lake Bwana kila pande tuna(poenda) , kwa nguvu na vipaji vyetu kuimba na pia...
Habari za Yesu
Wajulisheni habari - habari za Mungu wetu, Wajulisheni wote - habari za utukufu, Wajulisheni habari - habari za Yesu , wote ziwafikie x2...
Soma Bibilia
Soma bibilia kitabu kitakatifu, Soma uondoe ujinga wa kiroho. X2 Bibilia ni mwangaza wa maisha yangu usome uondoe ujinga wa kiroho...
Walipomuua Yesu
Walipomuua Yesu walidhani wameshinda, kumbe badala yake injili yaenda mbele Injili yaenda mbele, injili yaenda mbele, Kumbe badala yake...
Ukiitwa na Yesu
Ukitwa na Yesu- (itika itika) x2 Sema ndio - kama sio mimi mwenyewe Kama sio wewe Kama sio sisi wakristu Nani atangaze injili Anakuita...
Tusipotangaza
Tusipotangaza neno nani atangaze. x2 Neno – aah Neno – nani atangaze. x2 Tusipohubiri neno nani ahubiri. x2 Tusipolieneza neno nani...
Simama Imara
Simama - Simama imara jilinde Jilinde - Neno lako Bwana imara Kesha kila siku uombe Uombe - utasimama Milima yote na mabonde itayeyuka...
Sauti Yake Bwana
Nitume ewe Bwana popote utakapo, mimi niko tayari [Bwana] kutangaza injili x2 1. Sauti yake Bwana yatuita twende kwake x2 2. Wengine...
Nimtume Nani
Nimtume nani unitume mimi nitume Bwana Nita – nitakwenda kutangaza neno hili lako Bwana Mataifa ya dunia yakufuate wewe unitume mimi...
Twasikia Mwito
Tumeni nuru ya injili ing’are duniani x 2 1. Twasikia mwito kutoka mbali- Tumeni injili Roho za watu na ziokoeni- 2. Na tuombe neema...
Twende Tuhubiri neno
Twende tuhubiri neno lake Bwana duniani kote x2. (Neno) neno lake Bwana, (neno) ni neno la Mungu, (neno) lidumu duniani, (neno), lidumu...
Tutangaze Neno
Karibuni wakristu, sote tujiandae, wakati umefika sasa wakutangaza neno Ni neno la uzima, neno toka kwa Bwana, hakika, ni chakula kweli...
Tukaye Tayari
Tukaye tayari kulipokea neno litokalo kwa Bwana 1. Neno lake Bwana ni kuu, linao uzima wa milele 2. Neno hilo latufundisha, njia ya...
Thirino Neno
Bass: Tiri no neno ra Mlungu All: Tirino neno, neno ra Mlungu Bass: Tiri no neno ra Mlungu All: ( Tiri no neno, neno ra...
Panda Milimani
Panda milimani x2 Shuka mabondeni x2 Shikeni neno, neno la Bwana. Neno kwa wagonjwa, neno kwa wafungwa, neno kwa wakristu, shikeni...
Nitatangaza Neno Lake Bwana
1. Nitatangaza neno lake Bwana, kwa mataifa mbali mbali oo x2 Wajaluo, waimbee wamsifu Bwana, wataita waimbee wamsifu Bwana, wamaasai...
Nitakwenda Naye Mwokozi
Nitakwenda naye Mwokozi, nipeleke injili duniani pote, Yesu wangu nipe uwezo, nipeleke injili duniani pote. (Mmm Mmm duniani pote) x2...
Nipe Bibilia
Nipe Bibilia, nipe Bibilia, neno nzuri la Bwana nipe Bibilia x2 1. Ni neno lake Bwana - Bibilia yangu Ni neno la wokovu -...
Ni Neno Toka kwa Bwana
1. Ni neno toka kwa Bwana limekuja x2 Tusikie neno, neno lake Bwana ee ni neno toka kwa Bwana limekuja x2 2. Wokovu toka kwa Bwana...
Ninapeleka Neno
Ninapeleka bibilia yangu, ni neno jema kutoka kwa Baba Tulitangaze, (neno), neno la Mungu (Baba), neno la wokovu, laleta uzima x2....
Neno Litasimama
Neno litasimama x2 Ya ulimwengu yatapita, lakini neno litasimama 1. Usichana wako utapita,uvulana wako utapita, ya ulimwengu...
Neno Linakuja
Neno linakuja x 3 neno lipokee x 2 Amenituma kuwahubiria habari ya nuru (kama ilivyo andikwa kitabu kitakatifu x 2) Tuwe tayari...
Neno Limekuja Kwetu
Neno la Bwana (neno) limekuja kwetu sisi (na tulipokee) kwa furaha kwa amani ndilo neno lenye kutuletea wokovu x2. Neno la Bwana Yesu...
Neno Lake Bwana
Tenor Neno lake Bwana ni neno jema kweli All Neno lake Bwana ni neno jema Tenor/Bass Neno lake Bwana ni...
Nena Ee Bwana
Bass: Nena, ee Bwana Wote: Nena, Bwana Bass: 1. Neno lako ni neno la kweli Wote: Nena, Bwana. Neno lako Bwana, linatufariji, nalo ni...
Mbio Mbio Tutangazeni
Mbio x4 tutangazeni x2. tutangazeni injili ya Bwana x2 mbio. Wa mama nao wamepotea, wamepotea masengenyoni, ( ni wajibu wetu tuwatafute)...
Maneno yote ya Injili
Maneno yote ya injili mitume tangazeni pote duniani x2 Haya sasa fungueni masikio x2, maneno ya injili yaenezwe Yesu aliwaambia...
Mchunga Wangu
Mchunga wangu ameniandalia mema yote. Bwana ndiye mwenye kuchunga uzima wangu, na malisho yake kwangu ni raha kamili. Malishoni mwake...
Kama Vile Baba
Kama vile Baba yangu alivyo nituma mimi; nami nawatuma nyinyi ulimwenguni. Endeni ulimwenguni pote mkalihubiri injili kwa mataifa yote...
Injili Kalo
Solo: Yawa uling’aling’a uparang’o Injili kalo All: Yawa uling’aling’a uparang’o Injili kalo x2 (Solo: Umadho...
Inavuma Sauti ya Bwana
Bass: inavuma sauti ya Bwana – ALL: Inavuma sauti ya Bwana Mungu inavuma x 2 S/A:- Inaita. ALL:- Inavuma sauti ya Bwana. T/B: Watumishi....
Inasonga Mbele
Inasonga mbele injili, inasonga (ee, ee), inasonga mbele injili, inasonga mbele x2 Injili yenye Amani Inasonga, inasonga mbele injili,...
Iende Mbele Injili
Solo: Iende mbele Injili ooo All: Iende mbele Solo: Iende mbele Injili ya Yesu All: Iende mbele x2 Solo:...
Bwana Aliniambia
Bwana aliniambia ee mwanangu nikutume (wote) nitume kuhubiri x 2 Naye aliponiambia, nilimjibu Bwana nikisema hivi kwamba, Bwana niko...
Baptized and Sent
We are baptized and sent to go to the world to preach to all the souls, we are baptized and sent to go to the world to preach good news...
Biblia Neingabo
1. Bibilia ino neingabo yakhwahebwa – neingabo x2 Yesu yalera inganakani mushivala x2 Nolekanire shionyala khwinjira- mwikulu Ingo wa...
Nena Nami Bwana
(Nena) nena nena nami Bwana, nena nena nena moyoni mwangu, kwa sauti ya upole nieleze akili zangu Bwana zikuelewe x2 Neno lako ee Bwana...
Twendeni Tukayatangaze
Twendeni tukayatangaze tuliyoyasikia x2 Tuliyoyasoma katika masomo Tuliyofundishwa katika injili twendeni tukayatangaze tuliyoyasikia x2...
Wakristu Wote Simameni
Wakristu wote simameni, simameni Tuchezeni mbele za Bwana, kwa shukrani (Leo) Asubuhi na mchana nitamsifu (Bwana) Na usiku nitaita jina...
Waumini Simameni
Waumini simameni - tupeleke neno lake Neno lake Bwana Mungu - ni nuru ya ulimwengu x2 Tulisome kweli (kweli kweli) Tulihubiri sana (biri...
Nating'o Muma
1. Nating’o muma nalemo, Nating’o muma, nalemo, nating’ang’o Ting’o muma ting’o muma, Ting’o muma nalemo } *2 2. Naweyo chode nalemo,...
Tulitangaze Neno
Tumeitwa na Yesu - tulitangaze Neno x2 Wazee pia na wamama - tulitangaze Neno x2 Tulitangaze neno lake, kwa mataifa mbalimbali...
Silaha ya Mapambano
1. Neno lake Bwana Mungu ee- Silaha ya mapambano ee ee ee mapambano Silaha ya mapambano dhidi ya Ibilisi Hayo ndiyo mapambano dhidi ya...
Uzuri wa Yesu
(Kwa imani yangu, matendo na maneno, Nihubiri neno la Mungu siku zote, nipeleke neno la Mungu pande zote, Mataifa wanangojea neno hilo)...
Inasonga Mbele
Inasonga mbele injili yetu ulimwenguni kote - Neno laenda mbele *2 Injili - (iende mbele Injili yake Yesu x2) x2 {Inasonga mbele - Injili...
Mbio Mbio
Mbio mbio mbio mbio itangazeni x2 Itangazeni injili ya Bwana x2 Mbio Wazee wengi wamepotea x2- Ni kazi yetu kuwatafuta x2 mbio Vijana...
bottom of page


