Neno Linakuja
- Anonymous
- Oct 28, 2023
- 1 min read
Neno linakuja x 3 neno lipokee x 2
Amenituma kuwahubiria habari ya nuru (kama ilivyo andikwa kitabu kitakatifu x 2)
Tuwe tayari kusikiliza neno lenye mwanga –x2
Neno la Bwana linatufariji walio na hofu – x2
Litakomboa walio wafungwa kuweka huru –x2

Comments