Tukaye Tayari
- Hymsco Library

- Oct 28, 2023
- 1 min read
Tukaye tayari kulipokea neno litokalo kwa Bwana
1. Neno lake Bwana ni kuu, linao uzima wa milele
2. Neno hilo latufundisha, njia ya kuweza kuokoka.
3. Ni neno la kweli daima, litusaidialo maishani.
4. Tulisikie kwa makini, tukalitangaze mahali pote.

Comments