Neno Limekuja Kwetu
- Deo Kalolela
- Oct 28, 2023
- 1 min read
Updated: Dec 25, 2023
Neno la Bwana (neno) limekuja kwetu sisi (na tulipokee) kwa furaha kwa amani ndilo neno lenye kutuletea wokovu x2.
Neno la Bwana Yesu Kristu, ni taa ya mioyo yetu, kwa hiyo inatupasa tulipokee.
Neno la Bwana Yesu Kristu, ni njaa ya wokovu wetu, kwa hiyo inatupasa tulipokee.
Neno la Bwana Yesu Kristu, faraja ya watesekao, kwa hiyo inatupasa tulipokee.
Neno la Bwana Yesu Kristu, tulizo kwa wagonjwa wote,kwa hiyo inatupasa tulipokee.

Comments