Tulitangaze Neno
- Joseph Mamuu
- Oct 15, 2023
- 1 min read
Updated: Oct 19, 2023
Tumeitwa na Yesu - tulitangaze Neno x2 Wazee pia na wamama - tulitangaze Neno x2 Tulitangaze neno lake, kwa mataifa mbalimbali Tulitangaze neno lake, ulimwenguni kote
Ni neno la bariki- Ni neno pia lafariji
Vijana na watoto - Wadogo pia na wakubwa
Ni neno linakuja- Ni neno pia laokoa-
Ni neno lake Bwana - Ni neno ambalo linaponya

Comments