Neno Lake Bwana
- Anonymous
- Oct 28, 2023
- 1 min read
Tenor Neno lake Bwana ni neno jema kweli
All Neno lake Bwana ni neno jema
Tenor/Bass Neno lake Bwana ni neno jema kweli
All Neno lake Bwana ni neno jema
All (Jiandae, (sasa) sikiliza neno la uzima (Kweli)
Neno lake Bwana ni neno jema) x2
Tenor Tuna leta Bwana bibilia kwako we
All Neno lake Bwana ni neno jema
Tenor/Bass Tuna leta Bwana bibilia kwako we
All Neno lake Bwana ni neno jema
Tenor Bwana Yesu Kristu atualika kwake
All Neno lake Bwana ni neno jema
Tenor/Bass Bwana Yesu Kristu atualika kwake
All Neno lake Bwana ni neno jema

Comments