top of page

Mbio Mbio Tutangazeni

Mbio x4 tutangazeni x2. tutangazeni injili ya Bwana x2 mbio.

  1. Wa mama nao wamepotea, wamepotea masengenyoni, ( ni wajibu wetu tuwatafute) x2 mbio.

  2. Wa baba nao wamepotea, wamepotea ulevini, (ni wajibu wetu tuwatafute) x2 mbio

  3. Kina kaka nao wamepotea, wapotea mitaani, (ni wajibu wetu tuwatafute? X2 mbio.

  4. Kina dada nao wamepotea, wamepotea masaluni, (ni wajibu wetu tuwatafute) x2 mbio.

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page