Mbio Mbio
- Anonymous
- Oct 15, 2023
- 1 min read
Mbio mbio mbio mbio itangazeni x2 Itangazeni injili ya Bwana x2 Mbio
Wazee wengi wamepotea x2- Ni kazi yetu kuwatafuta x2 mbio
Vijana wengi wamepotea x2 - Ni kazi yetu kuwatafuta x2 mbio
Watoto wengi wamepotea x2 - Ni kazi yetu kuwatafuta x2 mbio
Wamama wengi wamepotea x2- Ni kazi yetu kuwatafuta x2 mbio

Comments