Twasikia Mwito
- Anonymous
- Oct 28, 2023
- 1 min read
Tumeni nuru ya injili ing’are duniani x 2
1. Twasikia mwito kutoka mbali- Tumeni injili
Roho za watu na ziokoeni-
2. Na tuombe neema ienee-
Na roho wa Mungu aonekane
3.Tusichoke kazini kwa upendo
Na roho wa Mungu aonekane

Comments