Ukiitwa na Yesu
- Anonymous
- Nov 17, 2023
- 1 min read
Ukitwa na Yesu- (itika itika) x2
Sema ndio -
kama sio mimi mwenyewe
Kama sio wewe
Kama sio sisi wakristu
Nani atangaze injili
Anakuita dada - (itika itika) x2
Anakuita ndugu
Mungu mwenye rehema - (itika itika) x2
Anakuhitaji wewe
Uokoke uje ndugu - (itika itika) x2
Ueneze injili
Usiogope ndugu - (itika itika) x2
Usiogope dada
Anakuelimisha - (itika
Anakupa hekima.

Comments