Twendeni Tukayatangaze
- Alfred Osonga
- Oct 21, 2023
- 1 min read
Updated: Dec 23, 2023
Twendeni tukayatangaze tuliyoyasikia x2 Tuliyoyasoma katika masomo Tuliyofundishwa katika injili twendeni tukayatangaze tuliyoyasikia x2
Twendeni tukayahubiri katika mataifa x2
Twendeni kote duniani tupeleke ujumbe x2
Twendeni tukalieneze agizo lake Bwana x2
Twendeni tukayasambaze ulimwenguni mwote x2

Comments