top of page

Habari za Yesu

Updated: Feb 7, 2024


Wajulisheni habari - habari za Mungu wetu, Wajulisheni wote - habari za utukufu, Wajulisheni habari - habari za Yesu , wote ziwafikie x2

  1. Wambieni ya kwamba kwa Yesu kuna baraka, wasihangaike waje kwa Yesu awabariki

  2. Wambieni ya kwamba kwa Yesu kuna faraja, wasihangaike waje kwa Yesu awafariji

  3. Wambieni ya kwamba kwake kuna uponyaji wasihangaike waje kwa Yesu wote wapone

  4. Wambieni ya kwamba duniani na mbinguni, Yesu ndiye Mtawala wa vyote milele yote.

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page