Nena Ee Bwana
- Anonymous
- Oct 28, 2023
- 1 min read
Bass: Nena, ee Bwana
Wote: Nena, Bwana
Bass: 1. Neno lako ni neno la kweli
Wote: Nena, Bwana. Neno lako Bwana, linatufariji, nalo ni uzima, nena, Bwana.
2 Neno lako ni mwanga njiani.
3 Neno lako ni raha shidani.

Comments