top of page

Baba Yangu Ikiwa Haiwezekani

Baba yangu ikiwa haiwezekani x2 Kikombe hiki Baba kiniepuke (nisipokunywa Baba mapenzi yako Baba yatimizwe) x2

  1. Nimekukimbilia nimekukimbilia wewe Bwana nisiaibike

  2. Kwa maana wewe Bwana umekuwa ngao na kinga yangu na ngome yangu

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page