Nakuja ni Mwenye Dhambi
- Anonymous
- Oct 15, 2023
- 1 min read
Nakujia mi mwenye dhambi nipokee kwa pendo lako *2 Yesu, nimechoka nazo dhambi Bwana, Bwana Yesu nipokee
Ulikufa msalabani ukateswa na Wayahudi *2
Damu yako ilimwagika kwa ajili ya dhambi zetu *2
Ulipaa juu mbinguni kutuandalia makao *2

Comments