top of page

Binadamu Inama Kichwa

  1. Binadamu, inama kichwa, umwabudie Mungu mhuu, (hapo yupo ajapofichwa, ameskuka chini kwetu) x2

  2. Kwa macho yetu hatuoni ila maumbo ya mkate, (hakuna ‘ta mkate, lakini mwiliwe twakiri sote) x2

  3. Kukaa nasi umetaka, Rabi mwema, mpenda watu, (kwa tama nyoyo zawaka, njoo basi ndani mwetu) x2

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page