Kuteswa kwake Bwana
- Anonymous
- Oct 15, 2023
- 1 min read
Kuteswa kwake Bwana kulinipa wokovu Siachi kumwimbia pote niendapo *2 Aliyeniokoa ni Yesu Aliyevumilia mateso Aliyemwaga damu mtini, Ndiye(ndiye) Bwana Wangu *2
Kwa kunipenda mimi aliwambwa akafa, Ni pendo la ajabu kunifia *2
Rohoni nimeoshwa kwa damu ya thamana, makosa yameoshwa naye mwokozi *2

Comments