Msalabani Alipotundikwa
- F.A Nyundo
- Oct 22, 2023
- 1 min read
Updated: Nov 22, 2023
Yesu msalabani, alipotundikwa Hakuwa na dhambi, mkombozi wetu x2 Dhambi zetu nyingi sana, ndizo zilimtesa Hakuwa na kosa, mkombozi wetu
Aliteswa msalabani kwa ajili ya ukombozi wetu sisi
Akasubulibiwa kwa ajili ya ukombozi wetu sisi

Comments